Hiki Chama Lazime Kife!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki Chama Lazime Kife!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bazazi, Jun 15, 2012.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi! Hii sms ilisambaa sana mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi(niliipata 18/11/2010). Lakini kinachonishangaza badala ya chama kufa ndio kinazidi kukua kila siku. Sijui aliyeianzisha anajisikiaje kwa sasa.


  Hebu tujikumbushe

  "Haao walioteuliwa wanasababu zao. Ngoja nikuambie kama hujui:
  Joyce Mukya, G. Kiwelu na L. Nyerere ni wa M/kiti.
  C. Abwao na Anastella Malki ni wa Alf Konjesta.
  Rwamukaza ni wa Baregu.
  R. Kamili, Susan Kiwanga na Paulina Gekul ni wa Slaa.
  Chris Mtinda na Tina Lissu ni wa Lissu.
  M. Msabaha na Raya Hamisi ni wa MM/kiti Znz.
  Muhonga, A. Komu na L.Owenya wametetewa na Zito.
  Muturano, Kaihura na S. Lyimo wametoka BAWACHA .
  Mwanamrisho ni wa naibu Znz.
  Sasa kama huna mtu secretariet hupiti hata E. Matiko amepita kwa uwezo wake na juhudi za K. Mkumbo.

  HABARI NDIO HIYO CHAMA LAZIMA KIFE.:A S-frusty2:
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Posti nyingine bwana!!
   
 3. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sasa wewe umeileta tena hapa JF ya nini? Masaburi @ work!
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  mkuu huwa unatumia ile pombe inaitwa ULANZI???
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  waste of space
   
 6. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  kingunge ngombalu mwitu bhana!
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  acha kuudhalilisha ulanzi wewe!
   
 8. m

  mamajack JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  UNAOTA MCHANA WEWE,wewe na magamba wenzi ndo mtakufa.na mtahaha sana mpaka 2015 majibu mtakuwa nayo.gamba zito wewe,
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,737
  Likes Received: 12,807
  Trophy Points: 280
  Utasubiri sana
   
 10. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Bazazi hawajakuelewa!! Walijua kitakufa kwa propaganda na kuwatisha tisha matokeo yake kinakaba kila kona!! This is 21st century, those days are over. Kila mmoja yuko huru bado kidogo tutawageuzia kibao wanasiasa watakuwa wanafanya kile tunachokitaka wananchi.
   
 11. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nishasema na nitasema majungu hayatawasaidia kamwe,' tujenge taifa letu.
   
 12. k

  kitero JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengine wakifanya poa ila CDM ikifanya kosa.
   
 13. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Umekunywa mnazi!
   
 14. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utakufa ukiache kikitawala kizazi chako chote labda uhame nchi.
   
 15. m

  mkurugenz JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  no research no right to speake,na wewe ni mjumbe secretariet
   
 16. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kweli uelewa wa watu wengine bana ni tatizo!
  Sasa mleta thread anasulubiwa kwa sababu ipi? Mbona yy kaileta ili makamanda waone jinsi CDM ilivyokuwa inatabiriwa mabaya na magwanda 2010 na sasa hali ni tofauti kabisa. Amejaribu kuonyesha kuwa sasa upepo umebadilika na ccm ndo wenye kutabiriwa kifo.
  Tusikimbilie kujibu kabla ya kuelewa kilichoandikwa!
   
 17. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ah Bazazi!
   
 18. J

  Jadi JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,403
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  hivi wewe unaweza kuwapa cheo watu usiowajua?duuuuuh,maajabu hayataisha Tz hii
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  mkuu acha kuanzisha thread za uchonganishi na ubaguzi. Hata Mungu hapendi. mia
   
 20. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  wagaba Uelewa wa wengi ndani ya JF kwa sasa ni mdogo sana. Niliileta sms hiyo ili watu wakumbuke CDM ilivyokuwa inatabiriwa mabaya na wanachama wake wenyewe. Hii sms kama sikosei iliandikwa na aliyekuwa m/kiti (T) wa BAWACHAaliyetimkia NCCR.

  JF kwa kweli hasa jukwaa hili la siasa limevamiwa na watoto wa FB ambao uwezo wako wa ku-"think critically" ni negligible. They just try kuongeza idada ya posts tu bila kujali mantiki. Vijana wetu hao tunaoategemea kupitia CDM waje kutuongoza lakini kufikiria uwezo namba za viatu. Aibu.

  Yes! Ndimi Bazazi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...