DAWASCO kulikoni maji hayatoki

Fabolous

JF-Expert Member
Sep 23, 2010
2,509
2,695
Dawasco kuna nini mbona maji hayatoki leo siku ya nne huku Mbezi beach na maaneo ya Kawe. Watu tunahangaika sana kutafuta maji lakini chakushangaza hata kwenye vyombo vya habari sijasikia wakizungumzia hili tatizo Dawasco kulikoni?
 
Mimi kama mkazi wa Dar sijawahi kujua kazi ya hawa wanaitwa DAWASCO nadhani wanakazi nyingine kama kazi yao ingekuwa kuleta maji na wananchi wanalipa bill wangeyaleta laikini unashangaa maji hakuna lakini wao wanatembelea magari mazuri na mishahara mikubwa huku maji hakuna wanatoa wapi pesa kama hawana kazi nyingine? Matapeli kabisa hawa na wahuni heti kampuni ya maji angalia maji taka dar aibu
 
Back
Top Bottom