CHADEMA yazidi kuibomoa CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yazidi kuibomoa CUF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kwayu, Jun 16, 2012.

 1. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Aliyekuwa mgombea udiwani kata ya nyasa kada mkubwa wa cuf Yusuph Omary Ally leo ameahama na kurudisha kadi kwa mwenyekiti wa CHADEMA kata ya migongo Masasi Mtwara Kassim Bingwe
   
 2. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hongera sana mapambano yaendelee.
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hongereni makamanda wa Mtwara!! Naimani nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe wala si kwa misaada kutoka kwa watu tofauti na watanzania!!
   
 4. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  hizi ni taarifa za uwongo mtupu.....mgombea udiwani aliitwa abdala kaijuki ......
   
 5. K

  Kikwebo JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 25, 2006
  Messages: 352
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Bora wewe uliyoona, CDM vita vyao ni dhidi ya CUF utadhani wao wanaendesha serikali. Ndoto zao kubwa ni kuionma CUF ikifa. Falsafa ya CUF hai hakuna CDM magogoni kumbe ina maana kubwa. Hii ni vita vya panzi....fura kwa...
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe wa kenya umeyajuaje ya huko mtwara ndani au ndo hivyo kupinga tu kila unachokisoma
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,540
  Trophy Points: 280
  Hongera sana Mwenyekiti na katibu sana CDM.
   
 8. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  siasa za chadema za uongo uongo, mgombea udiwani aliyegombea anaitwa abdallah kaijuki. na hata baadhi ya picha mpaka sasa zipo bado zimebandikwa mitaani.
   
Loading...