Miradi ya Maendeleo Almost Zero, Wizara Zipo Hohehahe, TRA Wanakusanya 113!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miradi ya Maendeleo Almost Zero, Wizara Zipo Hohehahe, TRA Wanakusanya 113!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NdasheneMbandu, Jun 16, 2012.

 1. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wandugu,

  Nchi hii, ina mambo ya kushangaza sana. Tunaambiwa kila mwezi TRA wanakusanya kiasi cha kuvuka malengo. Eti wakati mwingine wanafikisha asilimia 113!! Ajabu, tangu awamu ya nne iingine ulingoni hatujaona hata mradi wowote mkubwa kama ilivyokuwa awamu ya tatu!!! Sasa wizarani watumishi wanakiona cha mtema kuni. Hakuna hela hata karatasi za kuprintia barua wanaishiwa. Mambo ya chai na vikolombwezo vilivyozoeleka enzi za awamu ya tatu ndiyo vimeyoyoma. Jambo tunalojiuliza wengi ni je, fedha zinazokusanywa na TRA zinakwenda wapi?!?!?
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tunasafiri kutafuta wafadhili.si unajua ulazima wa ziara za kujenga mahusiano na wafadhili.

  Vilevile ni muhimu sana kwa wafanyabiashara wetu kujifunza mbinu za kisasa kabisa za uendeshaji wa biashara zao.

  Hizi ni baadhi tu ya sababu za matumizi ya serikali.pia usisahau ni lazima tutoe rambirambi kwenye misiba ya watu mashuhuri ina maana umesahau kama tulitoa rambirambi kwenye msiba wa bongo movie supra star!

  Wewe lipa kodi usijidai kuuliza uliza matumizi.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hivi miradi ya barabara za lami mikubwa katika bara la Afrika kwa wakati huu, iko wapi?
   
 4. sam2000

  sam2000 JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 450
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45

  Either TRA set very easy targets in terms of revenue collection or they do not collect the more than 100%! So it might be big PR stunt they are pulling on us!!!!!
   
 5. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  fisadi kitilya amlikwe haraka na ang'olewe haraka, hana tija.
   
 6. p

  petrol JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Mie napita tu. ninachojua ni kwamba hatujui kwa nini tuko masikini.
   
Loading...