Balozi Mrango ahaha kumrithisha dk Nshama

May 4, 2010
77
12
baada ya harakati zake kutaka aongezewe muda zaidi katibu mkuu wa wizara ya ujenzi balozi Herbert Mrango amabaye muda wake alioongzwa unaisha tarehe 1 mwezi ujao, sasa anahaha kutaka nafasi yake arithiwe na DAKTA Nshama badala ya naibu wake injinia Ndunguru. ni hatari sana sijui anachohofia ni nini kama ndunguru atapanda kuwa katibu mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom