Pendekezo heading ya kesho tz daima/mwananchi-Udhaifu wa kikwete wazua balaa bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo heading ya kesho tz daima/mwananchi-Udhaifu wa kikwete wazua balaa bungeni.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gwota, Jun 19, 2012.

 1. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  TZ daima la kesho:


  UDHAIFU WA KIKWETE WAZUA BALAA BUNGENI,
  MNYIKA ATOLEWA NJE BAADA YA KUUVULIA UVIVU.

  Kufuatia udhaifa wa rais Jakaya kikwete ambao umekuwa ukipigiwa kelele na wadau mbalimbali vikiwemo vyama vya siasa, asasi za kiraia, wasomi mbalimbali na makundi mengine ndani ya jamii hatimaye jana mbunge wa ubungo John Mnyika kupitia CHADEMA aliutolea uvivu na kuuweka hadharani ndani ya bunge, Kitendo hicho kilipeleka kuwakera maafisa wa bunge akiwemo naibu spika Mhe Job Ndugai na kuamua kumfukuza ndani ya ukumbi wa bunge.

  Endeleeeeeen hapo
   
 2. M

  MAKAWANI Senior Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  PENDEKEZO HEADING YA GAZETI LA UHURU KESHO:

  Lusinde awachachafya CHADEMA; Ahoji Mbowe kutumia shangingi alilolikataa, aifananisha bajeti yao na ndoto za mchana! Mnyika atolewa kwa aibu bungeni! Wabunge wengi waiunga mkono bajeti, serikali yasema bajeti hii ni ya kuigwa Africa!!!!!!!
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,597
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  Tanzania daima kesho: WABUNGE WA CCM WAMSHANGILIA LUSINDE AKIMWAGA MITUSI YA KUFA MTU BUNGENI
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,704
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  Lusinde adhihirisha udhaifu wa jk
   
 5. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  mnyika afichua siri,kikwete ni dhaifu
   
 6. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Ndugai amesema kwamba kulikuwa hakuna sababu ya kumtaja Kikwete kwa sababu mada ilikuwa haihusu udhaifu wa Kikwete,mada ilikuwa ni bajeti.
   
 7. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  TD - Bunge lalipuka

  Mnyika atimuliwa, atolewa nje na askari
   
 8. l

  leloson Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwananchi- JK dhaifu-Mnyika, Uhuru-Chadema waendeleza wimbi la matus, Tz daima-naibu spika hatendei haki wapinzani bungeni.
   
 9. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mwananchi-LUKUVI NA NDUGAI WAMTETEA KIKWETE KULINDA VIBARUA VYAO,Tanzania daima 'UDHAIFU WA KIKWETE WAANIKWA BUNGENI',Uhuru 'LUSINDE AWACHACHAFYA CHADEMA,ASEMA HAWATAKI BAJETI IPITE ILI LENGO LAO LA KUJITFNGA LITIMIF...
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Mwananchi limeshirki mauaji ya watanzani wenzetu, kwa kumtangaza Babu wa Loliondo- sina mpango nalo. Tanzani Daima, linatumiwa na kanisa kuuchafua uislamu- sina mpango nalo.
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hvi kuna mtu bado anasomaga magazeti ya bongo?
   
 12. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wewe unaishi nchi gani?
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Avatar yako tuu inaonyesha una uhusiano na Yale yanayofanywa na Yule mzinzi wa iramba
   
Loading...