CHADEMA inayumbisha nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA inayumbisha nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by William Mshumbusi, Jun 20, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Viongozi wa kitaifa Mawaziri na wabunge wa CCM wameshindwa kabisa kufikiria juu ya kuokoa nji hii!

  Kukua na kupanuka kwa kasi kwa CHADEMA Na asasi za kiraia na wanaharakati kumewafanya badala ya kupanga mikakati ya kuendesha nchi kwa makini wanawaza jinsi ya kuigawa na kuisambaratisha Chadema. Akili hii inafanya selikali kushindwa kabisa kujiendesha kwa viongozi wake kushindwa kujiendesha na kuyaacha mambo yakienda ovyo ovyo

  Jk anatumia akili nyingi kuwalinda wanasisiemu wezi wa kula kama akina Masele, wasira, mahanga na wenzake akizani anawakomesha CHADEMA kumbe mbinu hizo ndizo Zinazoiangamiza Taifa.

  Juzi badala ya mawaziri kukaa kuandaa bajeti vizuri yenye tija na mvuto na yenye matumaini wakaa wanaandaa mikutano ya vijembe juu ya chadema Jangwani arafu mwisho wa siku aibu yao.

  Selikali mbinu ya kuiua CHADEMA ni hii hapa. Pandisha mishahara, thibiti rushwa na mfumuko wa bei. Thibiti wizi wa mali ya umma na imarisha huduma za afya, majisafi na shule ila kwa propaganda mnajichimbia kabuli
   
 2. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,507
  Likes Received: 6,006
  Trophy Points: 280
  kitu kikiwa imara hakiwezi kuyumbishwa ujue serikali yako dhaifu ndio maana inayumba
   
 3. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Too late. Sikio la kufa hata kwa daktari bingwa bado litakufa tu. Chadema wala wasilaumiwe, ni ccm wamejiua wenyewe.
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  hauni cuf na ccm kuyumbisha nchi kule zanzibar? Kuhusu uhuru wa wazanzibari na huu muungano wetu?

  Unarukia chuki tu za chadema? Unaogopa bomu huko zanzibar???
   
 5. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Chadema imeleta kizaazaa!! Mweh!
   
Loading...