Mbunge wa Ilala (CCM) Mussa Azzan Zungu aula!

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=6]
Bunge la Tanzania limemchangua Mbunge wa ilala(CCM)Dar es salaam, Mussa Azzan Zungu KUWA mwenyekiti wa Bunge.

Spika wa Bunge hilo,Anne Makinda amesema leo kwamba amechaguliwa baada ya kamati ya uongozi kukaa na kupitia majina ya waliopendezwa lakini jina lilopendekezwa lilikua moja tu la Zungu hivyo akawaomba wabunge kulithibitisha jina hilo nao wamefanya hivyo..

Spika Anne Makinda amesema Zungu anaziba nafasi iliyoachwa wazi na George Simbachawene ambaye aliteuliwa hivi karibuni kuwa naibu waziri wa Nishati na Madini.

Akizungumzia hatua hiyo, Zungu amesema atafanya kazi zake kwa uadilifu mkubwa
[/h]

Raha tupu angalia mguu umepakata mguu mwingine inamaanisha ulaji mzuriiii...

Je, CHADEMA itaweza kuwashinda hawa waliobobea Madaraka ndani ya CCM? Wanapeana kama peremende...

Imeishakuwa DECADE's kibao bado Vijijini Umeme hakuna, Mijini Umeme hakuna... Sahau Maji
 
Natumaini Zungu ataboresha mijadala bungeni hasa kwa kuhakikisha serikali inatoa majibu ya kuridhisha na kwa haraka. Sipendi hata kidogo tabia ya Anna Makinda kumtaka muuliza swali alete maelezo kwa maandishi! Huu ni mtindo wa kizamani na unachelewesha mambo kwa sababu tu ya kulindana.

Pia ningependa kuona Zungu anawabadilisha wabunge wa ccm waondokane na mtindo wa kudeka deka hasa huyu Lukuvi anayelia na kauli za 'kuudhi'. Anataka watu wamfurahishe?
 
kwa sisi wananchi hatuoni umaana wowote wa yeye kua mwenyekiti, haitusaidii na wala hatujali...hizi taarifa wasiwe wanatupa maana haitusaidii hata kidogo
 
Hata upinzani bungeni umemkubali, hakuna hata mmoja aliyesema hapana.
 
pamoja na kumkubali huyu mbunge ana siri nzito sana imejificha yaani siku mtu akija akisema lazima atajiua kwa aibu atakayoipata ila naye atakayesema atakuwa na moyo wa chuma kwa ujasiri akizungumza kwa watu ili wamuelewe maana lazima na wewe uwe akili zisiwe zako. jamani humu duniani kama mabati ya nyumba za watu yangekuwa yanaongea siju mwenzangu wewe ungeuficha uso wako wapi mbele ya jamii ila mungu na shetani tu ndio wanakujua uko kwenye kundi gani. duh binadamu tuangaliane na tusalimiane tu.
 
kwa sisi wananchi hatuoni umaana wowote wa yeye kua mwenyekiti, haitusaidii na wala hatujali...hizi taarifa wasiwe wanatupa maana haitusaidii hata kidogo
Hata mimi sielewi Mwenyekiti anafanya nini ambacho Spika na naibu hawafanyi.
 
Wote ni wale wale, wanaendesha bunge kwa mtindo wa asante kwa peremende ulonipa.
 
Hata hao viongozi wa vyama pinzani wamemkumbali sa wewe unaesema amepewa peremende unasema hivyo ukimaanisha nini...
 
pamoja na kumkubali huyu mbunge ana siri nzito sana imejificha yaani siku mtu akija akisema lazima atajiua kwa aibu atakayoipata ila naye atakayesema atakuwa na moyo wa chuma kwa ujasiri akizungumza kwa watu ili wamuelewe maana lazima na wewe uwe akili zisiwe zako. jamani humu duniani kama mabati ya nyumba za watu yangekuwa yanaongea siju mwenzangu wewe ungeuficha uso wako wapi mbele ya jamii ila mungu na shetani tu ndio wanakujua uko kwenye kundi gani. duh binadamu tuangaliane na tusalimiane tu.
Mkuu wewe inaonekana unaijua SIRI nzito ya Mheshimiwa Idd Azan Zungu sasa hapa Jamii Forums huwa hatuna tabia ya kuficha upuuzi wa mtu we tumwagie tuanze kumpa maneno yake ili ajirekebishe.
 
Mkuu nipm basi hiyo kitu nitajitoa mhanga kusema
pamoja na kumkubali huyu mbunge ana siri nzito sana imejificha yaani siku mtu akija akisema lazima atajiua kwa aibu atakayoipata ila naye atakayesema atakuwa na moyo wa chuma kwa ujasiri akizungumza kwa watu ili wamuelewe maana lazima na wewe uwe akili zisiwe zako. jamani humu duniani kama mabati ya nyumba za watu yangekuwa yanaongea siju mwenzangu wewe ungeuficha uso wako wapi mbele ya jamii ila mungu na shetani tu ndio wanakujua uko kwenye kundi gani. duh binadamu tuangaliane na tusalimiane tu.
 
kwa nini wsingeleta majina zaidi ya moja then yakapigiwa kura ya siri na wabunge, hii nayo mizengwe ktk uongozi
 
Huyu zungu si mzungu wa unga pale kinondoni? Huyu ni mmoja wao ambaye malehemu Amina Chifupa alitaka kumchana live anawaharibu vijana wake pale ki nondoni, data ambazo siyo rasmi ambazo zinapaikana hospital ya mwananyamala ni kwamba % 65 ya vijana wanaopasuliwa pale kutolewa kete walizomeza wakitokea shamba na kubamwa pale airport ni mzigo wake huyo Zungu, CCM KWELI WAMELAANIWA
 
Zungu si wa Ilala? au amepandikiza mbegu hadi kinondoni?
 
kwa sisi wananchi hatuoni umaana wowote wa yeye kua mwenyekiti, haitusaidii na wala hatujali...hizi taarifa wasiwe wanatupa maana haitusaidii hata kidogo

nilipoiona habar hii kwa mara ya kwanza kwenye wall ya mwananchi,,,niliwauliza na hii ni habar????nadhan kwangu mimi naona hii ni habar kwa zungu,familia yake na chama chake
 
Huyu zungu si mzungu wa unga pale kinondoni? Huyu ni mmoja wao ambaye malehemu Amina Chifupa alitaka kumchana live anawaharibu vijana wake pale ki nondoni, data ambazo siyo rasmi ambazo zinapaikana hospital ya mwananyamala ni kwamba % 65 ya vijana wanaopasuliwa pale kutolewa kete walizomeza wakitokea shamba na kubamwa pale airport ni mzigo wake huyo Zungu, CCM KWELI WAMELAANIWA

kwan upasuaji huwa unafanyiki mwananyamala????
 
Back
Top Bottom