Hiki chama vipi! Kinatumaliza jamani

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
Watanzania wote anataka kukubali akubali asiyetaka kukubali achomoe tu. Nimefanya utafiti wa muda Mrefu sana nimebaini yafuatayo:-
· Chama cha mapinduzi hakistahili kuwepo kwenye Orodha ya Daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa kwa sababu kimekosa uhalali. Hakina wanachama(wanachama wake hawalipi ada, wanatokea kipindi cha uchaguzi kwa kudanganywa na Tshirt, vitenge, vyupi na Trip za kutoka huko vijijini na malori kuja Town kwa ajili ya mikutano yao.)
· Chama cha Mapinduzi kimebakiwa na kundi moja tu ambalo linapiga sana kelele. Nalo ni wabunge ambao ukiangalia kwa undani wanalinda shibe zao tu maana wengi wanadiriki hata kupokea Rushwa (bedwel wa bahi ,Zambi ni miongoni mwa wabunge wengi wa ccm wanaokula Milungula)
· Viongozi wa Chama cha mapinduzi wa ngazi ya juu wanaona yote kuwa hawana uwezo wa kuongoza tena watanzania wanachokifanya ni kuiba, kuuza kila wanachokiona ili mradi tu wapate fedha za kujaribu kughilibu watz 2014.
Mwenye mengine aongeze hapa chini
Nawasilisha
 
Duu. Mpaka vyupi I can't imagine mtu kuvaa chupi ya kijani au njano..
 
Peooooooooooooooooooooooolessssssss powwwweeeeee needed
 
Back
Top Bottom