Msingwa wafundishe hao ,umuhimu wa kuwepo bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msingwa wafundishe hao ,umuhimu wa kuwepo bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by environmental, Jun 20, 2012.

 1. e

  environmental JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Hao kazi yao kupiga meza ,kulala usingizi,umbeya.Hapo bungeni ni eneo la kuongelea issues za Taifa sio mambo ya mke wako.NDUNGU ZANGU WATANZANIA TUMEONA SASA KUMBE KUNA WABUNGE NA WASHABIKI.SASA TUTAWAMWAGA HAO WASHABIKI 2015.KWANI HAWAPAFAI HAPO BUNGENI.WAENDE SAIGONI KIJIWENI,AU KWENYE VIJIWE VINGINE.SHAME ON YOUUUUUUUUU GAMBAS .
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Wapo pale kwaajili ya kujipendekeza kwa Dhaifu ili wapate uwaziri
   
Loading...