Nini chanzo cha ushangiliaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini chanzo cha ushangiliaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Comi, Jun 20, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Jana baada ya mnyika kutolea nje ya bunge palisikika makofi ya furaha, swali ni je waliofurahi walifurahia shida za wananchi au walifurahia ulaji wao. Na je nini hatima ya ushangiliaji wa kivyama na si wa utaifa?
   
 2. m

  majebere JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Walifurahi kuona kijana anafunzwa adabu.
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Ili kuua chama.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  furaha ni chanzo cha ushangiliaji
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwa mtu mstaarabu yeyote lazima atashangilia pale ambapo mbunge asiye na nidhamu anapochukulia hatua za kinidhamu.
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hujaielewa thread nini?
   
 7. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi, ccm ina maprofesor wengi,madaktari wengi,wabunge wengi lakini mawazo yao ni sawa na mtoto wa chekechekea. Hawataki wananchi wajue ukweli.je kwa kutokuambiwa ukweli unaweza kujua makosa yako?

  Wahenga walisema "UKWELI UNAUMA"
   
Loading...