Hivi kusema Rais ni dhaifu ni tusi?

SinaChama

Senior Member
May 1, 2012
109
59
Nimeshangazwa kwa kitendo cha kutolewa nje ya ukumbi wa bunge Mh. Mnyika kwamba amemdhalilisha Rais kwa kusema ni dhaifu.
Ninachojiuliza ni kwamba, Rais akiwa dhaifu haitakiwi kusema? Nadhani hizi kanuni za bunge zinahitaji marekebisho.
 
Back
Top Bottom