Kumbukumbu ya mapinduzi

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
Wataala,wazolangu kunahaja ya kuunganisha matukio yote ya bungeni juu ya kudai haki za walalahoi,kutengeneza video itakayotukumbusha tulikotoka, kama hazina ya kizazi kijacho.kwani matukio yanayotokea bungeni kwa wawakilishi waliotumwa kutetea wanyonge na wanotete matumbo na watoto wao.kisha isambazwe kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom