Wabunge wa mkoa wa Ruvuma ni janga la mkoa.

MussaBubu

Member
Dec 23, 2011
20
4
Tumeona wabunge wa mikoa ya ziwa wanaungana kuhusu pamba na uvuvi,kaskazini kuhusu masuala ya utalii na kahawa na magharibi kuhusu reli lakini wabunge wetu pamoja na kuwa na matatizo makubwa ya mbolea,kahawa,makaa ya mawe na madini mengine,uranium bila kusahau tumbaku lakini wanaishia kuonga mkono hoja na kuiponda chadema.Tumekwisha.
 
Jamaa limefanana na panya alafu linaongea pumba!kweli ruvuma wamechagua wajinga wakiongozzwa na kubwa jinga lao john komba.
 
aisee ndo maana bd tupo nyuma sana! Komba, jenista mhagama, nchimbi, hawana uwezo kabisa wa ku deliver. lkn 2015 hawa wote watapigwa chini vibaya sana! M4C is real!
 
Back
Top Bottom