Shabby2910
New Member
- Jun 11, 2012
- 1
- 0
Hivi kazi ya raisi wetu ni nin? Maana kunaweza kukawa na jambo zito la kitaifa kama vile taifa kuwa halina umeme na lipo gizan, utasikia leo Rais alikuwa kwenye sherehe au anaapisha watu as if he is not concerned, WHAT IS THIS???.