Mwigulu ashindwa kutetea Bajeti ya serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu ashindwa kutetea Bajeti ya serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gwalihenzi, Jun 20, 2012.

 1. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kulikuwa na mjadala TBC1 leo tarehe 20/6/2012 saa 1.45 asubuhi, kati ya Zito Kabwe na Lameck Mwigulu juu ya mpango wa maendeleo na bajeti ya serikali 2012/2013. Mwigulu aliishia kutoa mapovu badala ya kujenga hoja kutetea kwanini aslimia 35 ya mapato ya ndani hayajawekwa kwenye bajeti ya maendeleo. Nampongeza sana bwana zito kutuonesha waziwazi udhaifu wa bajet ya mwaka huu.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  nakulaumu sana kwa kuwa mchoyo!!! Ungejitahidi kuripoti mjadala wenyewe ingekuwa pouwa kwa tusio na luninga.
   
 3. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mla wake za watu atawezaje kutetea bajeti. Huyo ni gwiji kwenye mambo ya ngono
   
 4. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  achaneni na mtu aliyeiba jina la marehem moja shinyanga....
  miaka hiyooooo
   
 5. msafiri27

  msafiri27 Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ki ukweli kabisa Mwigulu kaonesha kuwa 'A' alizokuwa anapata chuo kikuu zilikuwa za kukariri. Amepwaya kupita bkiasi
   
 6. M

  Mujwahuzia Senior Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwasamehe bure wabunge CCM wakiongozwa na Rais wao ingawa rais wao yeye wakati mwingine anaamua kukaa kimya akijua kinacho zungumzwa kina ukweli ndani yake.wabunge wetu tumewachagua kutetea maslahi ya nchi baadhi yao wapo bungeni kuonyesha sura zao kwenye Luninga katika kikao cha bajeti cha mwaka huu kasoro kadhaa zimejitokeza Mfano. Mh, Job Ndugai kutoa amri ya kumtoa nje ya ukumbi wa bunge mtetezi wa wananchi wa jimbola Ubungo na Wtz kwa ujumla Mh John Mnyika kisa eti kamtaja Rais wa sasa ni dhaifu hivi kweli ukiambiwa ni dhaifu ni tusi la kumwamrisha kutoka nje mwakilishi wa maelufu ya wananchi wa jimbo husika??? huo ni udhaifu mwingine ambao watz wangependa kuujua kupitia mwakilishi wao na wale wengine wafahamu udhaifu wa kiongozi wao.Tanzania kumbe bado katika zama za kifalme na kisultani kwani usingethubutu kumwambia Mfalme amekaa UCHI wakati anaonekana pale jukwaani amekaa mkao ambao watwana wake wanamwangalia maumbile yake alivyo ambalo vilevile lilikuwa kosa kuangalia Utupu wa mfalme na aliyejaribu kuwa jasiri kwenda kumwambia jinsi jamii inavyo mwangalia ukaaji wake alipigwa kisha alinyongwa kisa alikwenda amewezaje kuona mfalme yuko UCHI asione mambo mengine????
  Naomba niwaulize wah, Lukuvi na Job Ndugai, Mh, Myika na viongozi wengine wa kambi ya upinzani ndio wa kwanza kutoa Lugha ambazo zimewakwaza wapenzi wa watenda maovu yanayo semwa kila siku??????? mbona Mh,John Komba juzi katukana mbona J.Lusinde bwana kibajaj bingwa wa matusi sijaona Mh, ndugai ukiwakemea kama matusi ni mabaya??? Tutawasemehe bure lakini mtahukumiwa na mwenyezi Mungu juu ya maovu mnayowafanyia Wtz mkidhani wamelala usingizi kumbe wameisha mapema kabla yenu kutokana wanakosa Usingizi mzuri kwani hajui wakiamka watakula nini watoto wao watakwendaje shule, watalipaje Karo, yote haya hamyaoni kwa vile mmesahau shida za watanzania waliowatuma BUNGENI. Mujwahuzia.
   
 7. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata mimi nimeangalia kipindi hicho, kifupi ni kwamba Mh nchemba kashindwa kujieleza vya kutosha kiasi cha kwamba kama watatumia hoja ya nguvu bajeti inaweza isipite lakini kama nchemba alivodhihirisha kwa kutumia nguvu ya hoja kulazimisha mambo wakati akijua kabisa anachokisema kinatofautiana na nafsi yake.

  Nimemsoma, saikolijia ilikuwa inaonyesha anajua ukweli lakni kwa kuwa kuna hidden ajenda alikuabali kufa na tai shingoni.Kwa upande wa Zitto kabwe ukiachilia mbali kushindwa kwa marine hasan muongozaji wa mdahalo kuendesha kipindi amejitahidi kufafanua kwa facts chama chake cha cdm kinachosimamia na kinachomanisha.CDM waendelee kupata uzoefu wa kutosha ili na wao wasije wakawa kama hawa CCM.maana kukosoa ni rahisi kuliko kutenda.

  Ndo mana Mh Nchemba amekiri kabisa kwamba kwa CDM ni mafanikio kwao kama bajeti ikirudi na kulekebishwa au bunge la bajeti likivunjwa.kwa maana nyingine CCM wako tayari kwa lolote lile lakini sio kukiri mapungufu ya bajeti iliyowasilishwa ilimradi tu cdm wasipate credit ya kukosoa bajeti ya serikali.
   
Loading...