@ william's experience: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

@ william's experience:

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Delegate, Jun 20, 2012.

 1. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  ‎@ WILLIAM'S EXPERIENCE: Kwako Mh. Mnyika, Taifa tunawalipa Chadema TZ. Sh. 150 Millioni kwa Mwezi, ili mtoe hoja nzito za kuikosoa Serikali ya CCM, wananchi tumekupa Ubunge ili utusaidie ukiwwa ndani ya bunge, huwezi kutusaidia Wananchi kwa kufukuzwa ndani ya bunge, au ukiwa nje ya bunge kama ulivyofukuzwa leo! IT IS SAD INDEED!!
  - BUNGE NI MAHALI PAKUBWA SANA KWA MBUNGE KUPELEKA LUGHA ZA MITAANI KAMA ULIYOTUMIA LEO, CAN YOU IMAGINE KILA MBUNGE AKIJA NA LUGHA KAMA YAKO KUHUSU VIONGOZI WA CHAMA KISICHOKUWA CHAKE? LITAKUWA NI BUNGE AU KILABU CHA POMBE SAIGON? NOW RUDI KWA SPIKA UOMBE RADHI KWA UTOVU WA NIDHAMU, BAJETI KAMA INA TATIZO NI UDHAIFU WA WAZIRI WA FEDHA SIO RAIS, ALIYESEMA KUUNDA TAIFA LA NORTH NI NASSARI SIO MWENYEKITI WAKO, URUDI UOMBE RADHI MHESHIMIWA UMEPOTOKA! - William.

  Naomba kujua kama huyu mtu ana uhusiano na Waziri Mkuu Mstaafu!
   
 2. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  Sos Peter
  Ungeanza na mbunge wa jimbo lako la mtela!maana yeye ndio anaongoza kwa lugha chafu bungeni! Mnyika hatuna tatizo naye kabisa yeye peke yake ni sawa na wabunge 10 wa magamba!

  Kal ManUtd Mambo Malecela:niliwahi kwenda pale kijiji cha Mlowa Jimbo la Mtera!!!Kuna mwananchi alinililia baada ya kuuliza maisha ya pale kijijini!!Kaa ukijuwa Mlowa kuna umeme wanalia!!!ss pata picha kule Chipogoro au Chiboli ambao nyumba zao ni udongo juu na chini!!!!Nashangaa Mbunge wako Lusinde anakaa kutetea chama badala ya Jimbo la Mtera ambalo I am sure ni moja ya majimbo masikini Tanzania!!!Nalijuwa Jimbo zima lile!!Sasa ile hali mbaya ya raia kama wa Mtera ndio yanasababisha watu mpaka wamissbehave that way!!Hali mbaya kaka!!Jimbo la Mtera Mpaka Kibakwe mkoani Dodoma hali mbaya!!Umeme unazalishwa Mtera lakini majimbo haya hayana umeme!!Tuache ushabiki wa kisiasa!!!Tuonee huruma wananchi!!!Tuwe wazalendo na Huruma!!!Unaongea hayo kwa kuwa wewe Braza Willy mambo yako safi kwa msingi uliopewa na familia yako!!!
   
 3. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  Raymond Lyamuya
  Sioni tatizo m2 kusema uzaifu wa mwenzio,kwakua kwangu najua kila m2 anauzaifu.Kikwete sio Mungu.nafikiri pia anauzaifu wake 2ngemwacha Mnyika amalizie tujue anazungumzia uzaifu upi wa Rais wetu.sikuona mbaya hata kidogo.nilipenda amalizie ili nione anahoja gani..?

  Akyoo Eliud Le mutuz, be a frank men, and never be bias, kama ni lugha za matusi kati ya mnyika,lusinde na mwigulu nani alistahili kutimuliwa? mwigulu alitupa kitabu cha bajeti ya upinzani, ni kanuni gani inayoruhusu hilo? bunge letu linatatizo kubwa kuliko mnavyofikiri kiccm
   
Loading...