Unaweza kutofauti jina na cheo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaweza kutofauti jina na cheo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Comi, Jun 20, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Jana mnyika katolewa nje ya bunge baada ya kusema rais kikwete ni dhaifu, je kwa mfano unaweza kumhukumu mwalimu mkuu kwa ubadhilifu pasipo kumhusisha na jina lake? Bila ya jina lake hicho cheo mmiliki wake atatambulishwaje? Naombeni ufafanuzi
   
Loading...