Bungeni Live, Leo June 20

Bungeni Live, Leo June 20

Ahsante kwa ushauri,

Tunasikiliza tunaona iko vizuri,
ila pole kwa hali hiyo, inapotokea hivyo tafadhali refresh page yako ya tune in.
Arusha Mambo
 
Mnazingua tu.......
Kama hamjajipanga msijitangaze bwana hamna kinachosikika hata
 
Mnazingua tu.......
Kama hamjajipanga msijitangaze bwana hamna kinachosikika hata

Acheni lawama mbona inasikika, halafu hata kama ingekuwa haisiki ni tatizo dogo la kiufundi ambalo unaweza kutoa feedback na kurekebishwa.
 
Acheni lawama mbona inasikika, halafu hata kama ingekuwa haisiki ni tatizo dogo la kiufundi ambalo unaweza kutoa feedback na kurekebishwa.

Sasa wewe Losambo, suala la lawama linatokea wapi???

Mbona watu kama nyie mnapenda kufanya vitu kwa mazoea?? Mi nimerudisha marejesho toka mwanzo kuwa siipati hiyo redio... unaniambia habari za kiufundi sasa mi fundi???
Ndio maana nikawaambia kuwa wajipange kwanza ndio waanze kujitangaza.......

Acha kiherehere Mkuu, ungeelekeza huo ufundi ulioufanya wewe badala ya wewe pia kuanza kubwata hapa wakati hata hujui natumia machine gani...
 
Last edited by a moderator:
Mda si Mrefu Mh John Shibuda atakuwa hewani kuchangia hoja ya Bajeti
 
Back
Top Bottom