Kauli za Kisiasa za Mh Magufuri

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Nimekua nikifuatilia viongozi wengi wa CCM na hasa hasa mawaziri katika serikali yetu nikagundua kuwa wengi ni wanafiki na wamejaa porojo za kisiasa. Mathalani kauli mheshimiwa Magufuli . Mfano wa barabara ya Tegeta. Barabara ya Tegeta inajengwa kwa fedha za walipa kodi wa Japan kupitia JICA-Japanese International Cooperation Agency ambayo ni development Agency ya Serikali ya Japan. Hii Agency yaani JICA imetoa hizi pesa toka 2008 na lengo likiwa barabara kutengenezwa toka Morocco mpaka Tegeta Mwisho ndani ya miaka miwili.

Ajabu ni kwamba ni miaka 4 baada ya kupewa fedha ndo serikali kupitia wizara ya ujenzi wanaanza kutekeleza mradi baada ya Serikali ya Japan kuanza kupiga kelele. Hii inamaanisha kuwa kama si kelele hizi pesa ingeweza kuliwa na mafisadi!. Mwenge mpaka Morocco kumefanyika usanii wa barabara tatu. Lakini siku ya uzinduzi Magufuli atasema barabara hii imejengwa kwa fedha zetu wenyewe. Fedha zetu wenyewe!!! Thubutuuuuuuuuuu! Hizi siasa
Tafakari chukua hatua
 
kuwa na phD sasa anajiona anjua kila kitu halfu KABISHI KWELI KWELI NA NI BINGWA WA KUKARIRI NDIO MAANA AKAMEZA FORMULA ZA KEMIA,
 
ni ujeuri tu, hilo lilikuwa dili tayari. hwajastukiwa ila wamekataa kutoa cha juu ndio maana wamelipuliwa
 
T2015 M4C imepita jimboni kwake imesomba watu hana chake 2015. Aendelee kukesha akimeza na kukalili data ili akachekeshe wajinga wenzie wa ccm.
 
Back
Top Bottom