Lusinde Ajadili Bajeti na sio mtu wala Chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde Ajadili Bajeti na sio mtu wala Chama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bamwaiche, Jun 20, 2012.

 1. b

  bamwaiche Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mh. Lusinde anatakiwa kujadili bajeti na sio kuaznza kupambana na chama fulani au mtu fulani badala ya bajeti . Nina hakika kabisa kuwa hayo anayoyatetea leo bungeni siyo aliyotumwa na wananchi wa jimabo la mtera. Lusinde alitakiwa kutetea wananchi kuhusu bajeti kwa wananchi wa jimbbo lake. Kwani bajeti ya mwaka wa fedha ujao ni bajeti inayomnyonga mtanzania. Ni bajeti ambayo haikuzingatia uhalisia wa maisha halisi yamtanzania ili aweze kuishi kwa uhalali zaidi, ni bajeti inamfikiha mtanzania kutokuishi maisha ambayo siyo yake. Lusinde tunajua kuwa wewe ni kada mzuri wa CCM na kwamba wewe ni mwanmtandao ule Mh EL sasa ushabiki sio mzuri kabisa. Mh. Mbowe sio bajeti yeye ni mwakilishi wa jimbo lake kwa wananchi wake. Hivyo Ujadili bajeti na Kilimo kwanza la Mbowe
   
Loading...