Mwigulu Mchemba alishiriki kwenye wizi wa EPA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Mchemba alishiriki kwenye wizi wa EPA.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Landala, Jun 19, 2012.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wanajf nipo nasoma hapa nasoma gazeti la LE OBRESS linalochapisha mjini Paris Ufaransa limemtaja katibu wa fedha na uchumi wa CCM ndugu Mwigulu Mchemba kuwa wakati anafanya kazi benki kuu ya Tanzania(BOT) alishiriki kwenye wizi wa EPA 2005 ambapo alikisaidia chama chake cha CCM kukwapua mabilioni ya shilingi ambazo walizitumia kwenye uchaguzi mkuu wa 2005.Chama cha mapinduzi kilimuahidi kumpa ubunge pia cheo ndani ya CCM..Pia gazeti hjli limesema kuwa wale watuhumiwa wa EPA waliohukumiwa vifungo Farijala Hussein na ndugu yake walimtaja Mwigulu kama mtu mmoja wapo aliyewasaidia kukwapua fedha kutoka benki kuu lakini walipomtaja tu ikulu iliingilia kumkingia kifua kwa kuwa angewaumbua wakubwa wengi.
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Unaweza ku scan hilo gazeti, ama kama lipo online tupe link yake.
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Lazima uweke ushahidi wa hilo gazeti au uscan au tupe links vinginevyo tutakuita mchinvi
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Ungeweka link au ungecopy na kupaste ungesaidia sana. Tungetranslate na google!!
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Ndo maana kapewa kacheo huko CCM, mwisho wao umewadia usicheze na nguvu ya umma uliza Gadafi yupo wapi.
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kwa vyovyote vile lazma alishiriki, alisema alikuwa mchumi wa daraja la kwanza BOT wakati wa EPA
   
 7. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  CCM 95% majizi sote tunajua mnataka ushahidi gani awape mleta uzi??
   
 8. M

  MTK JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Hebu shuha website ya jarida hilo hapa tumpelekee nakala bungeni, waingereza walisema "People who live in glass houses do not throw stones" kujifaragua kwake bungeni kuukataa ukweli sasa kumemuweka on the spotlight!! sasa wachambuzi wanalazimika kula nae sahani moja kuanika madudu yake hata ya Ilboru sasa lazima yatoke. Igunga kulikuwa na tetesi za ugoni! kazi kwake.

   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  tunasubiri mkuu
   
 10. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Illusions
   
 11. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uzushi mtupu,Mwigulu mwaka 2005 ndio mwaka alopata ajira Bot kwani alimaliza chuo mwaka 2004 degree ya kwanza ya uchumi.Kwa kuwa mgeni vile kazini asingeweza kusaidia chochote kwenye issue kubwa kama za EPA
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  serikalini unaweza kuiba from day1
   
 13. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ukiona mtu anakubalika na Kikwete ujue kuna jambo.Mwigulu kupewa hazina nilihisi kuna jambo.Hii ni strategy ya 2015.
   
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Exactly, labda kama alikuwa anaandika voucher.
   
 15. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mwigulu alipelekwa BOT kufanya kayi maalum na alipoimaliza akaandika barua ya kuacha kazi na akaenda kugombea ubunge kwao Iramba.Kama huamini basi sikulazimishi kuamini.
   
 16. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Umesema la ufaransa? Sasa hata ukili-scan nitaelewa kweli kilichoandikwa? ila fanya ivo kwa wanaokijua
   
 17. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  sheria za huku France haziruhusu kucopy na kupaste pia hili ni gazeti la mji wa Versaille hivyo halina website.
   
 18. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hii ngumu kumeza Bw. Lameck ni member humu aje hapa kukanusha hili?mwisho wa siku kila kitu kitawekwa hazarani!
   
 19. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Tupe link ya hilo Gazeti; Wengine tunaweza kusoma Kifaransa;
   
 20. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  rumor monger
   
Loading...