Mtizamo Wa Jichoi la Tatu wa Bajet ya Serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtizamo Wa Jichoi la Tatu wa Bajet ya Serikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by long'oi, Jun 21, 2012.

 1. l

  long'oi Senior Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bajetiya Seikali:Mamboya kuzingatia ili kukidhi utoshelevu wa bajeti. Ilikuhakikisha bajeti ya serikali ina uwezo wa kukidhi matakwa ya bajeti yaani “Maendeleo” na “matumiziya kawaida” kuna mambo muhimu ya kuzingatia. Kwa sasa serikali imekuja na bajetiya TRILIONI 15 ikiainisha 70% kama bajeti ya OC na 30% kama bajeti yamaendeleo. Kuna maswali ya kujiuliza unapoingalia taswira hii ya bajeti, Nindogo hivyo iongezwe?, Je yenyewe ina matatizo? Je bajeti haijaja na ubunifu waupatikanaji wa vyanzo vya ndani vya mapato? Na maswali mengimengi sana. Hebuniyataje machache:1. Dira ya maedeleo ya Taifa. Dira yamaendeleo ya Taifa inaitaka serikali kuwa na bajeti ya uwiano wa 35:65 asilimiatofauti na ilivyo sasa yaani 30:70, kwa maana ya Maendeleo:OC. Nasema hivi kwamaana Dira ni kitu kilichofanyiwa utafiti kwa hiyo Serikali ilitakiwa kuwa naplugs-in kwenye hii dira2. Nidhamu ya Matumizi ya Serikali:Wanasema the Higher the income, the higher expenditures are. Kwa uzoefu usio nautafiti mkubwa Serikali ya Tanzaania inajua kutumia bwana! NiNi maana yangu;hata bajeti iongezwe kuwa Trillioni 20, swali je, kuna matuimizi yenye nidhamukwa serikali? Ni wazi bajeti haijaonyesha dhamira ya kudhibiti matumizi mabovuya fedha za umma.3. Kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima yaserikali. Bila hata kuongeza kiasi kikubwa cha kodi na kuwaumiza wanywa pombena wavuta sigara, hili ni eneo ambalo serikali haijaonyesha dhamira yakutaka kulitumia kati ya chanzo chamapato. Hapa kuna sitting allowances, magari ya kifahari kwa viongoziwaandamizi na maafsa wa serikali na idara mbalimbali kila mtua anaingi ofisihiyohiyo na gari la kifahari. OK acha magari, je tunaangalia running xpenses yahaya magari? Chukulia tu kaRAV4 kako kanavyokusumbua, unajaribu kudhibitisafari lakini wapi. Hapa ukitaka uongelee unaweza hata ukafa4. Ubunifu wa mapato mapya: siamini kamakuna Mtanzania asiyependa kulipa kodi ila kodi inafanya nini? Ukwepaji mkubwawa kodi kwa watanzania ni mkubwa lakini wana sababu5. UAF- Un Accounted For: Hili ni eneomuhimu kwa ambalo kuna mianya mikubwa ya upotevu wa fedha za umma. Je bajetiimetambua na kuonyesha dhamira ya kuhakikisha inadhibiti maeneo yote yenyeupotevu mkubwa wa fedha za umma? UAF ni zile fedha zinazotolewa na kupoteanjiani kwa ufisadi, matumizi yasiyolengwa n.k

  VIVA M4C
  Fadhili RM
  21-06-2012
   
Loading...