Tuachiwe wazanzibar tupumuwe: Waziri wa ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuachiwe wazanzibar tupumuwe: Waziri wa ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jun 21, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni waziri Mwandamizi wa SMZ ambae ni kada wa CCM ameunga Mkono, UAMSHO kwa mikakati yake ya kutaka muungano wa Zanzibar upitiwe upya na kudai waachiwe Wazanzibar wapumue kutokana na mkandamizo mkubwa unaofanywa na watanganyika.
  Pia aliwataka polisi kuwacha kuwanyanyasa UAMSHO alidai ni kuwanyanyasa raia wake wenye mtizamo tofauti na muungano. Aliyasema hayo baraza la wawakilishi wakati akichangia bajeti
  SOurce: habari leo
   
Loading...