Sera, mwongozo na utaratibu wa ulipaji kodi kwa makapuni ya kigeni yanayowekeza katika kilimo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sera, mwongozo na utaratibu wa ulipaji kodi kwa makapuni ya kigeni yanayowekeza katika kilimo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by punguzo, Jun 21, 2012.

 1. p

  punguzo Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu,
  Naomba usaada wa kupewa na kufafanuliwa sera, mwongozo na utaratibu wa ulipaji kodi kwa makapuni ya kigeni yanayowekeza katika kilimo, na aina ya misamaha ya kodi wanayopewa na ni kwa muda gani? na ni wakati gani na katika mazingira gani mwekezaji atatakiwa kulipa kodi!

  Nitashukuru kwa kunielimisha na kupata hizo taarifa kwani nahitaji kwa ajili ya shule
   
Loading...