Pesa zilizofishwa uswisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa zilizofishwa uswisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Jun 21, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hii imekaaje?

  [​IMG]
   
 2. K

  Kimbito nyama Senior Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pesa zimefanywaje, sorry,naomba unyambulishe zaidi
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wizi wa wakubwa wa mali za umma hupeleka fedha zao benki za nje, na huko huzipokea kwa mikono miwili, wanajuwa huwezi kuzitumia zote lakini ngoja wizi wa Europe wazilete huku Afrika. Utasikia "money laundering".

  Huo ndio ujinga wetu.
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  kama chenge ameficha hela za wizi huko,ze bigboss hakosi kuwa ameficha huko,
   
Loading...