Wanaoisaidia kuiangusha ccm 2015 ni hawa.

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Kama kuna wana CCM wanaosaidia kuiangusha Chama chao bila waokujua ni
- Lusinde
- Mwigulu
- Wasira
- Komba
- JK
- Nape
- Mukama

Nianze kama ifuatavyo

Lusinde
  • kutete CCM muda wote
  • Kutukana wapinzani
  • Kusafau kuchangia bajeti
  • kutetea serikali
  • Kutukana viongozi wa CDM

Mwigulu

  • Kutokujua kwanini yuko bungeni
  • lugha ya matusi
  • mtaalam wa uchumi lakini kazi ni kutetea serikali
  • Kujifanya anajua mabo yote
  • Kejeli nyingi kwa wapinzani
  • Jimbo lake ni masikini sana

John Komba

  • Mtetezi wa CCM
  • Mlalamishi kuwa serikali imewasahau
  • Kukashfu wapinzani
  • Kulala bungeni
  • kuhema vibaya wakati wa kuchangia

Mukama

  • Propaganda
  • Mpayukaji
  • Mchonganishi na fitina kwa wenzake
  • Mdini na mkabila

Nape

  • Hajijui
  • Maslahi binafsi
  • mpayukaji
  • Matusi kwa watu kutumia uhuru wa kidemocrasia
  • Kutumiwa na wakubwa kufikia malengo yao.

JK

  • Dhaifu kiongozi
  • hataki lawama
  • Mtu wa makundi
Wasira

  • Usingizi bungeni
  • Propaganda
  • Ubabe

Hawa kwa asilimia kubwa ndio watakaoiondoa CCM madarakani kulingana na wasifu wao. Wapo wengine lakini hawa ni zaidi.
 
Back
Top Bottom