Bajeti imewajali watoto katika afya na elimu: Mchumi aliyebobea Dr. Dk. Daniel Ngowi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti imewajali watoto katika afya na elimu: Mchumi aliyebobea Dr. Dk. Daniel Ngowi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tume ya Katiba, Jun 21, 2012.

 1. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Wadau,
  Huku baadhi ya watu, hasa wanasiasa ambao kitaaluma wengi sio wachumi wakionyesha kutoridhishwa na bajeti ya 2012/2013. Mchumi aliyebobea amesema bajeti inawajali sana watoto lkatika afya na elimu.  Na Ninaeli Masaki,

  Imeelezwa kuwa bajeti mpya ya mwaka 2012/13 ina mwelekeo mzuri katika kuwajali watoto kwa kuwa imetoa kipaumbele katika sekta za elimu na afya.

  Akizungumza katika warsha ya waandishi wa habari iliyohusu bajeti ya watoto, mchumi wa kujitegemea Dk. Daniel Ngowi, alisema nchi inatakiwa kupanga bajeti ambayo ni rafiki kwa mtoto kwasababu zaidi ya asilimia 50 ya Watanzania ni watoto.

  "Serikali inatakiwa kupanga bajeti inayokidhi mahitaji ya kundi kubwa la wananchi na zaidi ya asilimia 50 ya Watanzania ni watotoÂ…naona ni vyema kwamba bajeti haijawasahau watoto katika sekta ya elimu na afya," alisema Dk. Ngowi.

  sosi: :: IPPMEDIA
   
 2. Van persie

  Van persie JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 916
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Bw ngowi, sidhan km umezaliwa jana, bajeti ya serikali cku zote nitamu kuisikia masikioni. Lakini je, wanaitekeleza?. Hilo ndio swali. Tumesha choka kusifiana. Bajet ya mwaka jana mliisifia sana nyinyi mnaojiita wachumi, je imetelezekeka?. Uchumi unashuka nyie wachumi mnasema unapanda.
   
 3. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wachumi wanaoangalia kwanza ukubwa wa vitambi vyao, kisha wanafanya utafiti wa matumbo yao,hasa wanapochuku Ph.D zao. Mwigulu anaheshimika sana na ccm kuwa mchumi wao wa drj la 1, kumbe utaalam hasa na wa kweli ni mchumi nambari wani wa kuchukua wake za makada wenzake wakati wa kampeni za chaguzi ndogo. Shame on him!
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Huyo Ngowi na mleta thread Pamoja na bajeti yenyewe ni DHAIFU
   
 5. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huyo kilaza , vip afya, alafu angeongea dk.prosper ngowi tungemuamini.. Alafu prof lipumba ndo mtasha.zaidi. Kuliko huyo daniel ngowi.. Prof. Anaipinga h!yo bajeti
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  We Tume ya katiba ubongo wako unauhalo kuna shule zina choo kimoja dar achilia madawati watoto wanakaa chini
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  We Tume ya katiba ubongo wako unauhalo kuna shule zina choo kimoja dar achilia madawati watoto wanakaa chini
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,247
  Likes Received: 10,427
  Trophy Points: 280
  70% uendeshaji wa serikali vs 30% maendeleo.
   
 9. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Tusiwe wakali sana jamani, nimemsikia huyu Dr. Ngowi mara nyingi tu akisema kuhusu udhaifu na mapungufu ya bajeti. Huyu mleta mada kama kawaida ya wale wanaochukua neno moja na kulikuza kuwa kubwaaa, hajasifia bajeti nzima. Wasomi wanaosifia hii bajeti ni vipofu wa CCM.
   
 10. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu, nimewasilisha maoni ya mchumi aliyebobea.
   
Loading...