Deo Filikunjombe: Serikali ni sawa na saa mbovu iliyosimama

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Ni mchango wake bungeni
Mh.Deo Filikunjombe baada ya kuchangia mjadala wa bajeti hajaonyesha kuunga mkono hoja na badala yake "indirect "kupinga bajeti ameituhumu serikali kwa kutoweza kutimiza ahadi zake kwa wananchi.

Kasisitiza kuandaa bajeti inayotekelezeka kwasababu bajeti zilizopita zinaisuta serikali leo kwa kutotekelezwa. Mikopo haionyeshi impact kwa lolote hapa Tanzania na Raisi Kikwete amekuwa akienda nje kuomba misaada na hali serikali si makini katika kusimamia matumizi ya fedha.

Inatakiwa ifike kupindi Kikwete aambiwe sasa baki ndani ya nchi tutumie hiki kidogo tulichonacho. Haya ni maneno ya Deo Fnjombe.
Mbunge wa Ludewa, Deo Haule Filikunjombe awe mfano wa kuigwa na wabunge wa CCM, kwa kutokuunga mkono hoja ya bajeti na ameonyesha kuthubutu na kukomaa kisiasa.. Kwa kuionya serikali kwamba imezidi kutumia hela nyingi na kukosa nidhamu ya fedha na kufuja rasilimali tulizo nazo..

Na amesema kuwa deni la taifa limeongezeka kutoka tirilion 5, 14 mpaka 22tsh..na kuwa ukali na ugum wa maisha umeongezeka kwa watanzania nchini kote na kuwa hii bajeti imeondoa matumaini ya watanzania kuiamini serikali kwa sehem kubwa.. Na kuwa mipango na fedha huwa zinatolewa na hazifikishi maeneo husika kwa muda muafaka na kama zitafika ..fedha hizo zitafika chache.. Ambapo ametoa mfano jimboni kwake ludewa kuwa kuna fedha nyingi za miradi na shughuli za maendeleo..

Ziliahidiwa kupelekwa na serikali pale bungeni mwaka jana lakini hazijafika mpaka leo.. Na zilizofika ni chache.. Hivyo ameionya serikali na kuwakanya baadhi ya watumishi wasio na nidham ya fedha..

Source: bunge live on tbc1

My take
:
Namuunga mkono na anapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa kusema ukweli kuwa serikali na viongozi kwa ujumla waongo..kwa kuwa utekelezaji wa ahadi mipango ya maendeleo ni DUNI..!
 
Leo bungeni umetoa ujumbe unaogusa kweli kweli. Ujumbe wangu kwako ni huu:

It is easy to stand with the crowd, it takes courage to stand alone.
--ruth ridgway
 
Wakuu, nimeshangazwa na alichokisema Mh. Deo Filikunjombe, mbunge wa Ludewa, kwamba Tanzania ni nchi ya tatu kwa kuwa ombaomba Duniani.

Na ametia mkazo kwamba tunaomba bila sababu za msingi, moja ya saba kuu ni kwamba serikali ya Magamba haina nidhamu katika tutumia fedha tulizonazo, hali ambayo amesema hatutaendelea hata kama mapato yataongezeka mpaka wapi.

Kwa hali hii, maoni yangu ni kwamba hii serikali imepoteza uhalali wa kuongoza.
 
Mh.Deo Filikunjombe baada ya kuchangia mjadala wa bajeti hajaonyesha kuunga mkono hoja na badala yake "indirect "kupinga bajeti ameituhumu serikali kwa kutoweza kutimiza ahadi zake kwa wananchi.

Kasisitiza kuandaa bajeti inayotekelezeka kwasababu bajeti zilizopita zinaisuta serikali leo kwa kutotekelezwa. Mikopo haionyeshi impact kwa lolote hapa Tanzania na Raisi Kikwete amekuwa akienda nje kuomba misaada na hali serikali si makini katika kusimamia matumizi ya fedha.

Inatakiwa ifike kupindi Kikwete aambiwe sasa baki ndani ya nchi tutumie hiki kidogo tulichonacho.Haya ni maneno ya Deo Fnjombe.
 
Naunga Mkono Hoja Mkuu!Deo hana nidhamu ya uoga kama magamba wengi na wakisikia Mwenyekiti wao yuko dodoma wanachanganyikiwa kabisa.Bravo Deo.
 
mimi kwa maoni yangu hata asipovaa gwanda tutamchagua huko huko ccm.
Vazi si akili na muono wa ndani.
Jambo la msingi alilofanya ni kukosa uzalendo na kushabikia chama.
 
Mkuu rekebisha heading isomeke tatu na siyo taru, nafikiri ndo ulichomaanisha.

Back to topic:

Anamuunga mkono mnyika kwamba mkulu ni dhaifu. Kama si dhaifu asingeweza kwenda kutembeza bakuli la kuomba wenzie wanakula.
 
siaje kwa wapambanaji? Uchaguzi uitishwe achukue kiti chake kwa tiketi ya chadema
 
mimi kwa maoni yangu hata asipovaa gwanda tutamchagua huko huko ccm.
Vazi si akili na muono wa ndani.
Jambo la msingi alilofanya ni kukosa uzalendo na kushabikia chama.
 
Mbunge wa Ludewa, Deo Haule Filikunjombe awe mfano wa kuigwa na wabunge wa CCM, kwa kutokuunga mkono hoja ya bajeti na ameonyesha kuthubutu na kukomaa kisiasa.. Kwa kuionya serikali kwamba imezidi kutumia hela nyingi na kukosa nidhamu ya fedha na kufuja rasilimali tulizo nazo..

Na amesema kuwa deni la taifa limeongezeka kutoka tirilion 5, 14 mpaka 22tsh..na kuwa ukali na ugum wa maisha umeongezeka kwa watanzania nchini kote na kuwa hii bajeti imeondoa matumaini ya watanzania kuiamini serikali kwa sehem kubwa.. Na kuwa mipango na fedha huwa zinatolewa na hazifikishi maeneo husika kwa muda muafaka na kama zitafika ..fedha hizo zitafika chache.. Ambapo ametoa mfano jimboni kwake ludewa kuwa kuna fedha nyingi za miradi na shughuli za maendeleo..

Ziliahidiwa kupelekwa na serikali pale bungeni mwaka jana lakini hazijafika mpaka leo.. Na zilizofika ni chache.. Hivyo ameionya serikali na kuwakanya baadhi ya watumishi wasio na nidham ya fedha..

Source: bunge live on tbc1

My take
:
Namuunga mkono na anapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa kusema ukweli kuwa serikali na viongozi kwa ujumla waongo..kwa kuwa utekelezaji wa ahadi mipango ya maendeleo ni DUNI..!
 
It seems so, but not fully convinced yet. We should closely monitor him. Remember the Mwakyembes, Selelis, Kilangos etc?

Please don't be swayed quickly by magambas
 
mimi kwa maoni yangu hata asipovaa gwanda tutamchagua huko huko ccm.
Vazi si akili na muono wa ndani.
Jambo la msingi alilofanya ni kukosa uzalendo na kushabikia chama.
Kisa cha kumwambia avae gwanda avue ganda Mkuu, ni kwa sababu hiyo serikali na chama cha maghamba vimefeli vibaya kuwahudumia wananchi wa Tanzania!!! Watanganyika sasa wanahitaji chama mbadala cha kutawala nchi ambacho ni CHADEMA, HIVYO Mhe Deo Filikunjombe ahamie CDM mapema kabla geiti halijafungwa!!!!!

Back
Top Bottom