CHADEMA Arusha wameanza kutoa mapovu

calculator

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
279
137
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.
 
chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi ccm na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.
arusha ya wapi hiyo?????
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.
Jipe moyo ili usife kwa BP otherwise utaelekea kuzimu sasa hivi. Arusha CCM ni sawa na ADC!
 
Walinzi wa Milembe tafadhari waongezewe salio vinginevyo wagonjwa zaidi wataendelea kutoroka!!
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

Unagongwa wewe mbele ya wazazi wako huku wana angalia.Lete hoja za maana acha upumbavu na kutupotezea muda .You deserve a life ban taka wewe
 
Usinitafutie ban ndugu
mimi mwana CHADEMA arusha
mtu anaanzisha thread ya kipuuzi ili apate comments nyingi ni ujinga mkubwa na akili isiyo na akili MODS angalieni hawa vilaza ndio wanasabashia watu humu wachafukwe na roho wakitukanwa wanakua wakwanza kulalama....
CCM ARUSHA HAWATAKAA NASISITIZA HATAWEZA KUPATA HILI JIMBO.
 
Saying this
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.
won't get someone into your trap since your signature is
CCM CHAMA CHANGU, DAMU YANGU CCM, WENYE HASIRA JINYONGENI:heh:
 
Unagongwa wewe mbele ya wazazi wako huku wana angalia.Lete hoja za maana acha upumbavu na kutupotezea muda .You deserve a life ban taka wewe

Wewe ni Premium member unayeandika hivi?? Unaboa sana. Lakini sishangai, ndo mlivyo CDM
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

Umetokea wapi weye kiumbe?
 
Una akili za 'maiti'

Hivi JF ni ya Chadema jamani?? Kwani ni lazima wote tuwe chama kimoja wandugu? Mbona mnakuwa hamjui nidhamu za Demokrasia? Kama mmenuna kwa ukweli mnaopewa si mjibu kwa hoja jamani? Mapovu ya nini??
 
This kind of Wanachama/Washabeki should be condemned by all people in love of the prosperity of true and civilized democracy. I don't agree that you can't argue and convey your message without insulting. Mods please embark on Lunyungu and give him what he desrves from your package.

Unagongwa wewe mbele ya wazazi wako huku wana angalia.
 
Hivi JF ni ya Chadema jamani?? Kwani ni lazima wote tuwe chama kimoja wandugu? Mbona mnakuwa hamjui nidhamu za Demokrasia? Kama mmenuna kwa ukweli mnaopewa si mjibu kwa hoja jamani? Mapovu ya nini??

wewe huna tofauti na ka ...ba, arusha ipi ambayo cdm wanhofia? Hata mfanye nini uzi ni ule ule, pamoja na kwamba mmekuja trick mpya ambayo mmoiweka hadharani ili mkwamishe rufaa ya lema halafu uchaguzi urudiwe lakini ukweli ni kwamba tuko tayari kwa uchaguzi huo mwezi mliopanga na bado tutachukua kiti cha ubunge na udiwani
 
Join Date : 3rd April 2012
Posts : 54
Rep Power : 321
Likes Received 4
Likes Given 9
 
Anayefilisika haoni kama anafilisika lakini wanaomzunguka wataona kuwa anafilisika-mb. Wa mbozi, ccm nao ndiyo walivyo na wanahitaji palliative care

Back
Top Bottom