Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

bila shaka naomba ifahamike kuwa,hakuna chochote kinachosemwa na cdm isipokuwa uroho wa madaraka tu.hoja inadhihirishwa kwa makini kwa kuieleza safu ya uongozi wa chadema iliyojaa undugulization...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma! My...
1 Reactions
65 Replies
6K Views
Nauliza tu ,kutokana na habari za kuaminka kabisa ,CCM haitakiwi tena Zanzibar na ukiangalia huku Tanganyika nako imepoteza umaarufu na wananchi wanaihama na kuhamia vyama vingine. Sasa ikiwa...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
leo bungeni kwenye maswali ya papo kwa papo, mh tundu lisu alimuuliza waziri mkuu kuwa aliahidi kuwa watashughilikia matatizo la madaktari na mgomo hautotokea tena. Sasa kwa nini umetokea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za jioni madaktari wangu, poleni na majukumu mazito ya sasa nawapa pole kwa maswaibu ya dr.Ulimboka na pia vitisho mnavyoendelea kuelekezwa kwenu, wito wangu kwenu naomba muimarishe ulinzi...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Maneno haya yamesemwa na mbunge wa Sikonge Mh Saidi Mkumba wakati akianza kuchangia. Na katika hali ya kushangaza Mh Mbatia alipo omba muongozo Mh Ndugai alisema kuwa mh mkumba yuko sahihi kwa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hawa siyo DHAIFU wanahitaji neno jingine kali zaidi ya Udhaifu
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika hali ambayo haikutarajiwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kimeingia kwa kishindo jimboni Monduli katika operesheni ya M4C Vua Gamba Vaa Gwanda. Katika mikutano iliyofanyika juzi CDM...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari JF, Ni wazi kuwa hakuna mtu asiyependa kuona haki ikitendeka kwake na kwa jamii inayomzunguka.Kwa muda mrefu hapa TZ haki za raia zimekuwa zikidhulumiwa ama kwa kujua au kwa kutokujua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilijitahidi kusoma Pcb ili nikasome muhimbili medicine nikachemka, hata nilipokuwa Bcom bado nilire-seat biology mambo yakagoma. Nikaachana na udaktari lkn nikapitia wateule wa kozi hiyo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nia yangu sio kutukana ila jamani mimi maongezi yamenichosha, tunaingia humu tunachonga weee, tunaongea weee, tunaandika wee, labda nikubali kuwa hii ni namna ya kupunguza hasira zetu tu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ktk maisha kuna msemo malipo ni hapa hapa duniani.Kwa maana ya uovu utakaofanya dhidi ya binadamu mwenzako malipo ni hapa hapa duniani.Nchi ambayo sina haja ya kuitaja kwa sasa inakabiliwa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bibi Asha ambaye amezungushwa kwa miaka mingi amefika mahali pa kulalama na kueleza rushwa ilivyotawala mamlaka za Ardhi (Kinondoni) na vyombo vinavyopaswa kufanya maamuzi. Kubwa ni kuwa katika...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Akichangia bungeni mbunge mtemvu ameeleza ni kwa jinsi kulikuwepo na mpango mahsusi wa kuondoa foleni uilobuniwa na mhandisi james nyabakari(tanroads manager dsm wakati huo) yeye alianza kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By JENERALI ULIMWENGU (email the author) Posted Saturday, June 23 2012 at 19:43 When a young parliamentarian uttered, in parliament recently, words to...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
je tutafika?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni mbunge wa CUF bi Rukia Ahamed alipokuwa akichangia hotuba ya Bajeti ya Waziri mkuu. Na kusema katika ukurasa wa 39 wa bajeti ya kambi ya upinzani kuwa imesema CCM na washirika wake wamechangia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wasio wavivu wa kusoma literatures mbalimbali unawakumbuka hao. Sasa nisome. Serikali inaanza kufanya juhudi kubwa ya kujinasua na kashfa kubwa ya ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya Dk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari toka jikoni zinasema kuwa Waziri wa afya bwana Hussein Mwinyi kutoa kauli ambayo ina ujumbe huu. Wote watakao Goma kufukuzwa kazi kuanzia leo na wataweka daftari la kujiandikisha na...
3 Reactions
190 Replies
15K Views
Mimi ningekuwa nawasapoti sana iwapo wangekuwa wanawatafuta mafisadi wakuu wanaotajwa kuwakamata na kuwafanyia vitendo vya unyama kama vile walivyofanya kwa Dr Ulimboka. Kwa kweli ukilinganisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…