Mkumba: Wenye uchungu wa kuikomboa nchi waende wakazae!

Dec 11, 2010
3,321
6,328
Maneno haya yamesemwa na mbunge wa Sikonge Mh Saidi Mkumba wakati akianza kuchangia. Na katika hali ya kushangaza Mh Mbatia alipo omba muongozo Mh Ndugai alisema kuwa mh mkumba yuko sahihi kwa kauli yake na haina tatizo.

My take. Naona hili ni tusi kwa tunao amini tunahitaji ukombozi mpya.
 
jamani jamani jamani kwa kweli sijui ni nini wanatafuta wanafikiri watu kujitoa muhanga ni huko nje tu hata hapa inawezekana kwa mwendo huu wa matusi kwa wananchi waliochoka
 
Nimesema katika thread nyingine kwamba nina mashaka sana na uwezo wa kufikiri wa baadhi ya wabunge wetu na viongozi wengine. Kila nikifikiria kwamba hawa ndio watu wenye dhamana ya kuiendeleza nchi yetu na watu wake najihisi kama mie ni abiria katika gari inayoendeshwa na mtu mlevi katika barabara yenye kupita kwenye kona na mabonde marefu mengi.
 
Mohamedi haya siyo matusi kwa nionavyo. Wanachofanya CCM ni kujitabiria kifo huku wakishangilia. Ni kweli CHADEMA tuna 'mimba' na muda si mrefu tutazaa ukombozi wa taifa hili. Kuwa na mimba ya aina hii sioni kama ni tusi ila inaonesha hata wao CCM wanatambua wazi kuwa chadema tunayo na tunaionesha dhamira ya kweli ya kulikomboa taifa letu toka kwa wauwaji hawa CCM.
 
Maneno haya yamesemwa na mbunge wa Sikonge Mh Saidi Mkumba wakati akianza kuchangia. Na katika hali ya kushangaza Mh Mbatia alipo omba muongozo Mh Ndugai alisema kuwa mh mkumba yuko sahihi kwa kauli yake na haina tatizo.

My take. Naona hili ni tusi kwa tunao amini tunahitaji ukombozi mpya.

Huyu Mkumba hafai,
sasa hivi anamtesa mpinzani wake aliegombea nae 2010, amebabuka mwili mzima.. So sad..
 
Mwenye CV ya Mkumba aiweke hapa ndipo watu watajua kwa nini katukana. Na huyu Ndungai hana lolote ndivyo alivyo; Bunge limemshinda kuendesha thats why hawezi kufahamu nini anafanya. Last week niliandika humu kuwa mapungufu ya Bunge yanachangiwa sana na upumbavu wa Ndungai (anadhani anaweza kubeba wabunge wa chama chake kila siku). Leo hii asubuhi anajifanya kumhimiza Mh. Lukuvi kujibu swali juu ya pension ya wabunge kana kwa kusema ..."Mh. Waziri majibu, ukizingatia suala hili ni nyeti".
Kwa hakika miaka hii 5 tusitarajie la maana katika bunge letu (kwa mfumo huu wa uendeshaji wa akina Ndungai); labda tu waTz tumlilie Mungu alingilie kati a kufanya mabadiliko ya kiti kwa lazima!

EJL
 
Hawa mapumbu tunawachagua halafu wanaishia kujiona wajanja sana sio?? kwa taarifa yao..hiii nchi sio yao peke yao..ni ya kila mtu...mda si mrefu..tunawapangisha foleni pale kisutu na HC na kesi zao za wizi...
 
Mohamedi haya siyo matusi kwa nionavyo. Wanachofanya CCM ni kujitabiria kifo huku wakishangilia. Ni kweli CHADEMA tuna 'mimba' na muda si mrefu tutazaa ukombozi wa taifa hili. Kuwa na mimba ya aina hii sioni kama ni tusi ila inaonesha hata wao CCM wanatambua wazi kuwa chadema tunayo na tunaionesha dhamira ya kweli ya kulikomboa taifa letu toka kwa wauwaji hawa CCM.
Mwana CBE, Hiyo ni namna chanya ya kupokea tusi, lakini ni lugha ya kuudhi na kwa kweli ni matusi. tuna uchungu na jinsi mabilioni yanavyoliwa na mafisadi halafu mtu mmoja anasema tukazae! hilo ni tusi na nashangaa kwa nini spika anaona si tusi. Lakini asante kwa mtazamo wako chnya kwa sababu kwa hakika ukombozi u-karibu kuzaliwa. Tujipe shime ukombozi u-karibu!
 
Said Nkumba alipata division four Moshi Technical School miaka ya themanini kipindi ambacho elimu ya ufundi ilikuwa inapewa uzito wa kutosha na taifa. Nadhani mnaweza kujua ni mtu wa aina gani huyu na kuachana naye.
 
Mwache aongee now kwani tutakapokuwa na katiba mpya hawa lazima watafune matusi yao mahakamani......

hii ni aibu sana watu wamepoteza utu na heshima katika jamii imepotea kabisa..
 
Maneno haya yamesemwa na mbunge wa Sikonge Mh Saidi Mkumba wakati akianza kuchangia. Na katika hali ya kushangaza Mh Mbatia alipo omba muongozo Mh Ndugai alisema kuwa mh mkumba yuko sahihi kwa kauli yake na haina tatizo.

My take. Naona hili ni tusi kwa tunao amini tunahitaji ukombozi mpya.

Sijaelewa alikuwa ana maanisha nini hapo?
 
watu kama hao wanatakiwa wasionekane mitaani,akionekana twanga mawe,hawezi kututukana hivi
au anafikiri atakuwa mbunge miaka yote?
Chama DHAIFU wanachama DHAIFU na mawazo yao ni DHAIFU.
 
Nimemsikia huyu Nkumba,nikashangaa sana..lakini kilichostaajabisha zaidi ni kauli ya Ndugai kuwa 'hajakosea'...Livingstone, Nchemba, na wengineo..magonjwa yaleyale
 
Maneno haya yamesemwa na mbunge wa Sikonge Mh Saidi Mkumba wakati akianza kuchangia. Na katika hali ya kushangaza Mh Mbatia alipo omba muongozo Mh Ndugai alisema kuwa mh mkumba yuko sahihi kwa kauli yake na haina tatizo.

My take. Naona hili ni tusi kwa tunao amini tunahitaji ukombozi mpya.

hayo matusi yako wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom