Kazi ndo kwanza inaanza: Madaktari 11 watimuliwa dodoma

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

My take:
-Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
-Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi!
 
-Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi![/QUOTE

Safi sana! Mgomo wa madktari uliua ndugu yangu, timua tu, ni bora tujue hatuna madaktari nchi hii ili tumwombe mungu atuponeshe kwa magonjwa yatayotujia, kwanza watu wenyewe wanapeleka madawa ya serikali kenye dispensari zao.
 
Liwale na liwe ndo inaanza kiukweli cjui tutafika wapi hii nchi bila madaktari... watoto wenyewe wa cku hizi wote wanakimbilia H kunani hawataki shida
 
Safi sana! Mgomo wa madktari uliua ndugu yangu, timua tu, ni bora tujue hatuna madaktari nchi hii ili tumwombe mungu atuponeshe kwa magonjwa yatayotujia, kwanza watu wenyewe wanapeleka madawa ya serikali kenye dispensari zao.[/QUOTE]

Nadhani umesahau kuwa wewe uliwahi kwenda Samunge kwa babu sasa hivi wanakurahisishia kwenda Bagamoyo. Ili uzidi kuwakandamiza Wadanganyika. Tatizo la Watanzania kila mtu anatumia masaburi kufikiri kwa kuzani yeye ndiye mwenye haki kisa tu ya harufu ya waridi anayoinusa. Ndugu endelea tu kufaidi mfumohuu kandamizi unaokurinda.
 
Hao wanajeshi wao wako wapi? Madaktari wasioweza hata kuwasha mashine ya xray...hakika watz mmezoea kudanganywa
 
Kuna baadhi ya watu tukisema ilibidi wawe Gombe hamtuelewi!

LIWALO NA LIWE ni neno la magombe huko msituni.
 
SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

My take:
-Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
-Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi!

Source mkuu!!!
Isije ikawa trick ya kuwavunja nguvu madocs.
 
SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

My take:
-Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
-Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi!

Hii safi sana, wakagome majumbani kwao.
 
SASA LIMEKUWA.....Asubuhi hii Intern Drs 11 waliokuwa wamegoma wametimuliwa kazi katika Haospitali ya mkoa wa Dodoma...........Haya yanategemewa pia katika hospitali nyingine zote zilizogoma!

My take:
-Moto hauzimwi kwa petrol, sasa ni vita rasmi kati ya serikali na madaktari
-Ikumbukwe kwamba chokochoko zote hizi zilianzia kwa Intern Drs, nahisi makubwa zaidi!

Wao wana madaraka , madaktari wana taaluma mabavu haya nani anaumia?
 
Imbaaa.....eeeh....mtoto...naaa...taka...tambaaaa....kwa hisani ya epiq nation...part of etsalat??!!

Huu mgomo wa madaktari ni kwa hisani ya serikali 'sikivu' ya CCM, 'party of the elite'!!!
 
Back
Top Bottom