The darkside of chadema's movement is here critically justified | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The darkside of chadema's movement is here critically justified

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Abdalla Khamis, Jun 28, 2012.

 1. A

  Abdalla Khamis Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bila shaka naomba ifahamike kuwa,hakuna chochote kinachosemwa na cdm isipokuwa uroho wa madaraka tu.hoja inadhihirishwa kwa makini kwa kuieleza safu ya uongozi wa chadema iliyojaa undugulization na ukabila bila kuusahau ukanda kama ifuatavyo:


  1:grace kiwelu ndesamburo ni mbunge wa viti maalum ambaye ni mtoto wa ndesamburo,mb wa moshi mjini na ni mdhamini wa cdm.hapa inaonekana cdm imeanza kulipata fadhila hata kabla ya kwenda ikulu.hivyobasi tujiadhari kung'olewa uongozi pale tu cdm itakapopora nchi maana slaa atawateua wachaga na familia ya ndesamburo.kuikabidhi nchi hii kwa cdm ni sawa na kuishonea sanda tayari kwa kuizika.  2:lucy owenya ni mb. Viti maalum ambaye pia ni shemeji wa ndesamburo
  3:rose kamili ni mb. Waviti maalum ambaye ni mke wa ndoa wa padri slaa
  4:christina lissu ni mb.viti maalum ambaye ni dada wa tundu lissu mb.
  5: Mhonga saidi ruhwanya ni mb.viti maalum na ni mchumba wa zitto zuberi kabwe.
  6:mbowe ni mke wa mtei na mtei ni mwaasisi wa cdm.je wewe unaona kuna ukombozi hapo?au ni usanii tu? Fungukeni nyie wanamagwanda.tusiipeleke nchi yetu shimoni.basi kama mupo tayari tutawalisha unga wa rutuba ili muone darkside ya cdm ambayo ndani ya chadema huwezi kuona walakuihisi.


  Naomba kuwasilish wanajamii
   
 2. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  upuuzi mtupu. Mbona mlishasema haya sana lakini watu wameshindwa kuwaelewa nyinyi magamba. Watanzania hawaitaki CCM hata kama CDM itakuwa ya ukoo sisi tutaiweka madarakani. Njooni na hoja lakini sio mnakuja kulalamika eti CDM ni ya kaskazini.
   
 3. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Reason yako ya ku-edit ... ha ha ha!

  But you are right.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwanini kuna nguvu kubwa sana inatumia sasa hivi kuichambua CHADEMA? Ndesamburo, Lucy Owenya, Grace wamekuwa wabunge kwa miongo tofauti sasa lakini hakuna mtu aliyefungua mdomo, sasa CCM wananusa kung'olewa na madarakani ghafla wamegundua unasaba wa wabunge wa CHADEMA. Hivi mtu akikaa chini na kuorodhesha mkorogo wa uongozi wa CCM si watanzania watazimia?

  NB: Mbunge wa CCM - Somji naye kalalamika leo bungeni kwamba anabaguliwa kutokana na asili yake (mhindi). Naona dhambi ya ubaguzi is deeply rooted kwenye CCM fabric.
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Hapo # 6 umesema MBOWE ni nani wa Mtei? mamamayo wee!
   
 6. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  We mleta mada bila shaka utakuwa umeddimiziwa manguo ya kijani huko ikulu kwako ... Mpumbavu* mkubwa ww tena kahab.a lilokosa mteja.
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Edit namba 6 mkuu usomeke vizuri.
   
 8. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  yaani nilijua una jambo la maana kumbe huu upumbavu, this is called cheap, stupid, and useless method of defense or argument anyway sikuachi bure embu anza hivi mawaziri wangapi, wabunge wa viti maalumu wangapi, wakuu wa mikoa wangapi, wakuu wa wilaya wangapi, wakurugenzi wa mashirika wangapi, majudge wangapi, mabalozi wangapi, ambao hawana uhususiano wowote na mkuu wa nchi. ( nyumba ndogo, hawara, kaka, dada, shemeji, wifi, mjomba, rafiki, mkwe, waliobebeshwa mimba, wanaolinda siri zao, watoto, shangazi, baba mdogo, mama mdogo, baba mkubwa, mama mkubwa, babu, bibi, nyanya) embu toka hapa tuna mambo mengine mengi si vitu vya namna hii, grow up buddy
   
 9. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Shati ikifuliwa sana inafubaa, tafuteni nyingine hii imechuja!
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  suala sio ku edit mkuu,asiyejua always hajui, huyo ndugu yako kakurupuka mbaya!
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,281
  Trophy Points: 280
  ishachuja!
   
 12. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa hilo atakaekuelewa ni ritz tu.wenye akili zao timamu hawawezi kukuelewa.
   
 13. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Rekebisha no 6 samahani sana na heshimu mawazo yako ila sio matusi
   
 14. mwenyenguvu

  mwenyenguvu Senior Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  message has being deleted by me
   
 15. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  'Has being deleted' ndiyo nini na wewe. Watu wengine sijui mkoje.
   
 16. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Hiyo namba 6 nooooomaaaaaaaa. Eti MBOWE niniiiiiiiiiiiiiiiii???????
   
Loading...