Jamani CCM iende wapi?

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Nauliza tu ,kutokana na habari za kuaminka kabisa ,CCM haitakiwi tena Zanzibar na ukiangalia huku Tanganyika nako imepoteza umaarufu na wananchi wanaihama na kuhamia vyama vingine.

Sasa ikiwa haitakiwi Zanzibar haitakiwi Tanganyika ,jamani CCM iende wapi ?
 
Mochwari, baadaye Kaburini!
 
Nani kakwambia CCM haikubaliki wakati tunapata kanga na kofia na wali na elfu kumi za bure. Chama gani kinaweza kunipa hivyo vitu.
 
Je CCM na viongozi wao wakiamua kujiunga na CHADEMA ,bila ya shaka yeyote ile CDM itazidi kuimarika.
 
KUziMU na kiendelee kuzimua huko huko kama pacha lake KANU ya kule Kenya!!!!!!!!!!

Nauliza tu ,kutokana na habari za kuaminka kabisa ,CCM haitakiwi tena Zanzibar na ukiangalia huku Tanganyika nako imepoteza umaarufu na wananchi wanaihama na kuhamia vyama vingine.

Sasa ikiwa haitakiwi Zanzibar haitakiwi Tanganyika ,jamani CCM iende wapi ?
 
Kwani TANU na ASP vilienda wapi?

Unakusudia CCM kujiunga na Chadema itatimia < Ni kuwa Chadema wanawafurahia sana pale vigogo vya CCM au wanachama wanapojiunga nacho,ndio nikasea kuwa kuna uvumi kuwa CCM na vigogo wake watajiunga na Chadema. Nawatakia kila la Kheli.
 
Nauliza tu ,kutokana na habari za kuaminka kabisa ,CCM haitakiwi tena Zanzibar na ukiangalia huku Tanganyika nako imepoteza umaarufu na wananchi wanaihama na kuhamia vyama vingine.

Sasa ikiwa haitakiwi Zanzibar haitakiwi Tanganyika ,jamani CCM iende wapi ?

Kaburini!!!!!!!!!!!!!!!!!!1111
 
Kabiri gani mbona huko CDM mnawapokea kwa magunia ? Au ndio kaburi la CCM ?

Yaa Kaburi la CDM linatoa neema ya Kitubio na utakaso!!!! Na ukikiuka Neema ya Kitubio na utakaso utaishia kama atakavyoishia SHIBUDA!!1
 
Je CCM na viongozi wao wakiamua kujiunga na CHADEMA ,bila ya shaka yeyote ile CDM itazidi kuimarika.
Wakijiunga na chadema wote kabisa mpaka wale wenye sifa mbaya, basi ni dhahiri kabisa kwamba chadema itaanguka mwereka wa mende.
 
Back
Top Bottom