Wito: Madaktari muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito: Madaktari muhimbili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PRISCUS JR, Jun 28, 2012.

 1. PRISCUS JR

  PRISCUS JR JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Habari za jioni madaktari wangu, poleni na majukumu mazito ya sasa nawapa pole kwa maswaibu ya dr.Ulimboka na pia vitisho mnavyoendelea kuelekezwa kwenu, wito wangu kwenu naomba muimarishe ulinzi kwa mgonjwa nyinyi wenyewe msiruhusu mtu tofauti anuse pua hapo.
  jambo lingine hakisha simu unayopigiwa na mtu usiyemfahamu unarekodi maongezi na namba pia naamini simu zenu ni za kisasa hii itatusaidia kuwapata wote wanaowatisha kirahisi tuna watu wa IT watasaidia.
   
 2. s

  sangija Senior Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu!!!Popote walipo watakusikia,jamani tuwaunge mkono kwa lolote!!!!!
   
Loading...