Suala la zanzibar ni sawa na mbu akiiwa ndani ya neti, unatakiwa ufungue net atoke haraka ....!

Chilisosi

JF-Expert Member
Oct 19, 2008
3,051
747
Jamaa zangu,
Hili suala la uamsho na hawa jamaa zetu wazanzibari binafsi linanikera sana. naliona ni kama vile mbu kaingia kwenye neti ananikosesha usingizi kwa kelele. na dawa ya mbu ni kumfukuza nje hara au unapulizia rungu tu. Anayekubaliana nami naomba aseme watokeeee atiiii!
 
Back
Top Bottom