Alilonena Waziri Wasira leo bungeni kama lingetekelezwa kwenye sekta ya madini nadhani ingekuwa poa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alilonena Waziri Wasira leo bungeni kama lingetekelezwa kwenye sekta ya madini nadhani ingekuwa poa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jodoki Kalimilo, Jun 22, 2012.

 1. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  Waziri Wasira alipokuwa anazungumzia kuhusu kutenga maeneo ya uwekezaji wa kilimo cha miwa alisisitiza kuhusu umuhimu wa wawekezaji kushirikisha wananchi wanaozunguuka mashamba ya wawekezaji (out growers) ili na wao waweze kunufaika. Nikajiuliza kama serikali imeliona hili kwanini na katika upande wa madini hili nalo lisiangaliwe pia
   
 2. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hizo story zipo kila siku hii mijamaa inapokuwa inataka kupitisha jambo lao huwa wanatumia maneno matamu na ya kutia moyo ila hayana mashiko katika utekelezaji.Ukisoma hasadi ya mambo waliyokubaliana last bajeti na utekelezaji ulikuwaje utasima ghafla.
   
 3. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  Siasa za Tanzania ni za kurembaremba na akitokea mtu anapinga vitu vingi ataonekana nia adui mpinga maendeleo. tatizo letu kipengele cha kutofautiana hoja hakuna na inajulikana kabisa kwamba UKIONA WATU WAWILI AMA ZAIDI KILA WANALOLIPANGA WANAKUBALIANA BASI UJUE MMOJA WAO/WENGI WAO HAWAFIKIRII
   
Loading...