Dr Hussein Mwinyi awaomba madaktari kusitisha mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Hussein Mwinyi awaomba madaktari kusitisha mgomo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Jun 22, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Alicho ongea Waziri wa Afya ni kweli,Madhara ya Mgomo wa madaktari ni mkubwa sana kuliko tudhaniavyo.

  Amewaomba wasitishe mgomo.

  Mambo ambayo wameshindwa kuyafikia muafaka serikali ipo teali pia kuzungumza Nao tena.
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni kazi gani anayofanya Mbunge na alipwe shs 10,000,000/- na Daktari 950,000/- Huu ni UDHAIFU mwingine wa serikali ya ccm
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa sijui wako dunia ipi! Ujinga kila anayeongea kuanzia Magogoni, Katavi hadi Zenj
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Lack of nation priorities...hatujui wapi pa muhimu na wapi tunaweza kujibana. Siasa tu ndio za muhimu
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kiama chaja!

   
 6. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huu ni ujiiinga na ufaaala wa serikali yetu, eti mbunge 6,000,000. dactari 950,000. Hivi wanajua kilaza yeyote yule, hata anayesinzia anaweza kuwa mbunge lakini sio dactari. Ngoja niache nisije pata Ban.
   
 7. 4

  4change JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 535
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  surely mkuu.huu ndio ugonjwa mkubwa tz."insanity is keeping doing the same thing, expecting different results"-msigwa hakukosea 'we have an insane gvt'
   
 8. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Kweli vilaza kama Mch Rwakatare, Munde, Vick Kamata, Nyangwine, Mkumba, Nchemba wanastahili Tsh 6,000,000 halafu Daktari anapata laki 9. Give me a break!!!!!!
   
 9. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii ni serikali ya kipuuzi kabisa, yaani viongozi wanapiga kelele tu hadharani badala ya kukaa mezani na madaktari na kungalia ni jinsi gani watatatua matatizo yao na kumaliza mgomo.
   
 10. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  'The problems cannot be solved by the same level of thinking that created them- You Guys you are tired" -Msigwa hakukosea the govt is tired
   
 11. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Yeye ni Dr. Mwinyi ni Mzanzibar. Atuambie kwanza inakuwaje awe waziri kwenye serikali ya Muungano kwa jambo lisilo kwenye makubaliano ya Muungano?
   
 12. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunaomba serikali itoe tamko kuwa imeshindwa kutekeleza/haina uwezo na baadhi ya mambo kwa madaktari ili madaktari wajue wazi waone huruma kwa watanzania walio wengi hasa wa hali ya chini ndio wanaoumia
   
 13. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tatizo wao hawatibiwi Amana,Temeke,Mwananyamala, kwenye zahahati zetu za wilaya,tarafa wao wakiugua APOLO na Aghakhan, Rgency na TMJ, kwahiyo matatizo na mapungufu ya madaktari wetu kwao ni upepo tu unapita na ndio maana hawatoi kipaumbele kwenye hili.

  Hii issue inatia hasira sana :mad::mad::mad:
   
 14. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Madhara ya kumlipa mtu kama Lusinde mshahara mara 10 zaidi ya ule wa Daktari ndiyo makubwa zaidi kwa taifa kuliko mgomo wa madaktari. Nitawashangaa sana wasipogoma.
   
 15. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Maombi yapo msikitini na makanisani au sehemu yoyote ambayo ibada inafanyika.

  Kinachotakiwa ni utekelezaji wa mambo yalikubaliwa kipindi madaktari walipoenda kunywa ghahawa magogoni.

  Huu sio upepeo tu unaopita kama walivyozoea kuita wao ni kitu serious.

  NI KWELI mgomo utaleta madhara makubwa kila mwenye akili timamu analijua hilo.

  Lakini wa nina uhakika wananchi walioweka hata wagonjwa wenyewe watakuwa wanasema wazi kabisa kwamba serikali inatakiwa kutimiza madai ya madaktari na sio vinginevyo. Wachache tu ambao wako upanade wa magamba ndo watawalaumu madaktari.

  THIS is the continuation of the silly SEASON inayosababishwa na udhaifu taasisi ya magogoni na chama TWAWALA.
   
 16. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Approach hii ingewezekana pale mwanzo waziri Mkuu alivyoanza kulishughulikia swala hili.

  Tatizo la sasa ni pale jambo hili lilipochukuliwa kisiasa zaidi na kupika propaganda za kuwachonganisha madaktari na wananchi. Kwa sasa Madaktari wanashindwa kuachia jambo hili njiani kwani serikali itaonekana ilisema ukweli. Kama pale mwanzo ingetumia busara kueleza kuwa haina uwezo wa kutatua matatizo kwa sasa na kuwaomba madaktari wawe wavumilivu kwa kipindi.

  Kwa sasa serikali imedhiirisha kuwa haina nia ya kushughulikia afya za wananchi wake tunaolipa kodi, kwani kwa kwenda mahakamani huku huduma zimesitishwa, tutakaoumia ni sisi zaidi.

  Pili hawa madaktari hawafanyi kazi kwa moyo na wala Mahospitali hayana vifaa/madawa, bado tunaoathirika zaidi ni sisi.
   
 17. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hayo madhara unayotuambia hapa, Serikali hii tukufu ilitoa taarifa yake Bungeni kuwa hayakuwepo. Waziri wa Afya aliyeondolewa alisema kuwa hakukuwa na vifo vingi Hospitali ya rufaa Muhimbili na hivyo Mgomo ule haukuleta madhara yoyote. Sijui alitumia kigezo gani, wakati wagonjwa wengi waliondolewa Muhimbili, wengi walifia kwenye hospitali binafsi na majumbani.

  Labda hata hivi sasa wapo radhi waendeleze mgogoro wao mahakamani huku tukikosa huduma za afya, sababu hata kukikwa na mgomo hauta leta madhara kutokana na uzoefu wao. Hata kama ni upepo unaopita, mbaya zaidi utatuondoa wengi ambao tungeweza kuepushwa na madhara haya.
   
 18. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Naungana na serikali kuwashawishi wataalamu wetu madaktari wasigome.

  Madai matano waliyo timiziwa yanatosha kushawishi akili kuwa madai mengine matano yaliyo baki yanatekelezeka kwa mazungumzo.

  Chonde chonde uhai wa ndugu zenu!!
   
 19. m

  mzaire JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona kaka unaongea uongo! Nani kakwambia kuwa Hosen Mwinyi kuwa Ni Mzenji ???

  Hata angekuwa hapana tatzo kwani Wizara ya ni ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, au hujui kama Tanganyika haipo?

  Tuitafute Tanganyika ndio tuanze kujidai.
   
 20. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  mi sisapoti mgomo kbs yan duh wagnjwa presha inapanda presha inashuka ...
   
Loading...