Naanza kuelewa kwanini CCM inakufa kwa speed ya ajabu...

Makirita Amani

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,781
3,074
kwa ufupi kikubwa kinachoiua ccm ni unafiki. Hawaambiani ukweli, kila mtu anaona chama kina hali mbaya lakini wanaishia kuwaficha viongozi wa juu ukweli. Wakiambiwa ukweli wanasema ni matusi na inakera?? Kama mtu ni dhaifu au lege lege aambiwe ukweli wake ili ajibadilishe. Hakuna haja ya kumumunya maneno, ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
 
Mungu ndo anataka kutukomboa kwa namna hiyo waja wake.Anaona tunateseka wakati katupa kila ki2,lakn hii yote ni kwa sababu ya magamba.MUNGU MKUBWA
 
Dhaifu mwache aendelee kuwa dhaifu zaidi na CDM unakaripia Ikulu upo karibu na IFM, CCM yupo ICU hoi kajimaliza kwenye Bajeti Dhaifu
 
Back
Top Bottom