Mkutano Mkubwa wa M4C kufanyika Songea

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Siku ya kesho makamanda wa M4C Mkoa wa Ruvuma watakuwa wanapeleka uokombozi katika kata ya Mletele nje kidogo ya mji wa Songea.

Mkutano huo utaongozwa na viongozi wa mkoa wa Ruvuma.

Usafiri utakuwepo toka ofisi za Chama pale Mfaranyaki na nauli ni 2000 kwenda na kurudi.

Nitakwenda na hivyo nitawaletea halisi kutoka katika eneo la tukio.

M4C forever!
 
Safi sana hii kamanda, pande zile zote hakikisheni watu wanavua gamba halafu wanavaa GWANDA!
 
Hongereni makamanda Mpaka kieleweke hawa ccm Dhaifu wapukutishwe waishe wote M4C Daima
 
Mletele? Basi mtupitie apa songea boys najua mkutano upo kwenye kata yetu kwa hiyo unatuhusu
 
Back
Top Bottom