Dr.kigwangala ausaliti umma na kukikumbatia chama chake.

kisiringyo

Member
Feb 9, 2012
89
31
jana katika habari ya star tv nilimshuhudia kigwangala akisema hatounga mkono bajeti kutokana na kutosimamia masilahi ya wananchi cha kushangaza, kaudhihirishia umma unafiki wake leo bungeni kwa kuunga mkono hoja.

My take: Uongo, unafiki na mbinu mnazotumia nyie ccm kuwa hadaa wananchi ndo kitanzi chenu 2015 kwani karne hii hakuna mjinga!!
 
Watanzania msiwalilie wabunge muulilie ujinga wenu wa kuwachagua vilaza,kingwangalah kaanza leo unafiki? Ameshabalehe kwenye unafiki so mwacheni na wahurumieni wana nzega kwa ujinga wao
 
Ni baada ya hoja zake kujibiwa na yeye kuridhika.
 
Ni unafiki kwa kwenda mbele kwa wabunge wa ccm only 72 ndo wameikataa bajeti Dhaifu
 
Watanzania msiwalilie wabunge muulilie ujinga wenu wa kuwachagua vilaza,kingwangalah kaanza leo unafiki? Ameshabalehe kwenye unafiki so mwacheni na wahurumieni wana nzega kwa ujinga wao
wewe ndo kilaza unasapoti bajeti kivuli
 
Filikunjombe, lugola, kigwangala, mpina, shelukindo, mkono na wanafiki wenzenu mnaokimbia wakati wa kura za maamuzi ni wabaya kuliko mwigulu na wassira. Washenzi sana ninyi, ya nini kujifanyia promotion wakati ni mavuvuzela tu nyie? Pambaf zenu tumewachukia ile mbaya.
 
Mzee wangu Lowassa alikuepo wakati wa kupiga kura? Naye ameunga mkono bajeti dhaifu?

Back
Top Bottom