Unafahamu ni kwanini wabunge wa CCM wanafurahia kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafahamu ni kwanini wabunge wa CCM wanafurahia kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 22, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ukikumbuka vizuri wabunge walio toa mchango wa kufutiwa kodi au kupunguziwa kodi na kuongeza kodi kwa bidhaa jamii ya mafuta ya kula inayotoka nje ya nchi kwa kigezo za kusaidia viwanda vya ndani ni hii;

  Wabunge wa Singida, Arusha, Dodoma na yule wa Morogoro mjini wanaviwanda vya mafuta na wale wengine wanavyo vya alizeti wanavyozalishia mafuta ya kula na kuyauza nchini tena kwa bei kubwa zaidi ya yake yanayotoka nchi za nje.

  Viongozi hao wameingia kwenye siasa ili kuhakikisha biashara zao zinaenda vizuri.

  Jiulize ni kwann hawajupigia chapuo bidhaa zingine za chakula kama sukari, unga, mchele kwanini mafuta ya kula???
   
Loading...