Kulikoni gazeti la Raia Mwema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni gazeti la Raia Mwema?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sembuli, Jun 23, 2012.

 1. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Kama mdau na msomaji wa kila wiki wa gazeti la raia mwema nasikitishwa na kukithiri kwa matangazo kuliko habari za upembuzi yakinifu kama nilivyo zoea, ukitaka kuthibitisha kasome la wiki hii na wiki iliyopita, huwezi amini kati ya kurasa 24, only 9pages(including front page)ndio habari na makala nyingine 15 pages matangazo! kona ya karugendo kwa wiki ya pili mfululizo nayo haipo kisa matangazo,, kama kuna anaejua kinachoendelea anijuze
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,810
  Trophy Points: 280
  Soma mwananchi
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  La jumatano lilipoteza mwelekeo.huwa nawajua kwa habari za makala ila..stori ya mnyika waliyoitoa hainiingii akilini
   
 4. h

  hoyce JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama ni hivyo, wamekosea. Ratio inatakiwa 60%editorial: 40% adverts. Matangazo yakiongezeka unaongeza pages. Ndo kisa, mfano, mwananchi jana ilipokuwa na adverts pg 23, lilikuwa la pg 56, badala ya 32 au 40 za kawaida
   
 5. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Unategemea nini toka kwa mchumia tumbo Dilunga na huyu ndio Mhariri wa hii gazeti njaa mbaya sana!
   
 6. Y

  Yarrot Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Dahhh kweli aisee hata mimi nilishangaa kuwa hili ni gazeti la matangazo ama ni gaeti la makala? Raia Mwema angalieni kama mmekosa makala za kuandika mseme!
   
 7. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tuna waomba Raia Mwema wabadilishe hali hii la sivyo Gazeti litakosa mwelekeo na wadau hawatalipenda tena. Ikumbukwe kuwas wasoma Magazeti serious kama raia mwema na watu walewale. Tafadhali wajitahidi ili wasije shusha credibility yao.
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wanaboa sana siku hizi......nilishangaa pia sana.....naona pole pole wanaligeuza gazeti la matangazo!
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakushauri uwe unasoma gazeti la Al-nuur.
   
Loading...