Madaktari sasa mnakera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari sasa mnakera

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Jun 22, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mmetuchosha na ulafi wenu mnataka bajeti yote ya Taifa iwe yenu? Angalieni kada nyingine hali ilivyo na wao ni watoa huduma kama nyie
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,630
  Likes Received: 1,990
  Trophy Points: 280
  Hujuhi bajeti nzima inakoenda wewe? Anyway kosha miguu, ule,na uende kulala!
   
 3. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  Huna lolote unalojua wewe.
   
 4. s

  simon james JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madaktari Gomeni mrudishe heshma ya nchihii. Mtoa mada huna mada nyingine ya kuhamasisha serikali iwatendee hak wa tz
   
 5. M

  Mngendalyasota Senior Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We ni CCM nini? Haki na wajibu, iweje madaktari wafanye kazi pasipo kutekelezewa haki wanayostahili kupewa!
   
 6. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hela mle nyie watu dhaifu na lichama lenu dhaifu afu muwambie madoctor wanataka kila kitu
   
 7. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wamekuchosha wewe na nani?

  Kada unazozisema ni vile kichwa chako kidogo.

  Kama unadhani madaktari na watumishi wa kada nyingine ni sawa hamna haja ya mizozo; KAWACHUKUE WASAMBAZE MAHOSPITALINI, sawa mkuu?

  Mimi nimechoshwa na UDHAIFU wa serikali.

  Kwanza kwa taarifa yako;
  1. TUCTA wamedhamiria kugoma
  2. CWT wamedhamiria kugoma
  3. Wavuvi ziwa Victoria WAMEGOMA leo siku ya 3
  4. Akili yako IMEGOMA sijui kwa muda gani na haioneshi dalili za kusitisha mgomo. Mbona uwasakame wenzio wanaodai haki zao? Halafu unathubutu kuwasemea na wenzako eti TUmechoshwa, hovyo!
   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Wamechoka kuona 'akili ndogo' (dhaifu) inaongoza 'akili kubwa'!
   
 9. B

  Bob G JF Bronze Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ccm na serikali yake ndo wanao kera kwa ahadi hewa na kutojua vipau mbele tana wanadharau fani muhimu kama ya Udaktari
   
 10. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Big up drs bila mgomo hakieleweki waacheni waalimu na woga wao
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Shida yako ni umri ndo unaokusumbua, mengi huyajui ila muda ukifika utakubaliana na ukweli baada ya kuujua!
   
 12. cement

  cement JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kimboka buguruni nini pale kwenye biashara yetu???????
   
 13. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Wanakukera we na nani? Unan'taftia ban na lisura lako lakiwasira!
   
 14. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  imefika wakati wana jf tupimwe akili. Huwezi anzisha uzi kwa puma kama hizi
   
 15. N

  Njaare JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Acha U..... Wewe. Kwani kada zingine hazijui kudai haki yao. Tutajuaje kama wanaridhika na wakipatacho? Waache waseme wenyewe. Au kama na wewe una matatizo jisemee. Kama unaridhika na ukipatacho kaa kimya.
   
 16. M

  Masabaja Senior Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mleta mada ni GAMBA GUMU lililogoma kuvulika
   
 17. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,160
  Likes Received: 1,162
  Trophy Points: 280
  Kila anayeona ananyimwa haki yake na agome, ma dr. wanajitambua sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 18. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe mwana Apolo unazungumza nini?

  TUMBIRI (PhD, University of Hull - UK),

  tumbiri@jamiiforums.com
   
 19. DIALLO

  DIALLO Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  akili yake imegoma na sijui ni lini mgomo utaisha.......pole
   
 20. double R

  double R JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,351
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Eti ehh! Sasa subiri ukipata ajali wewe au ndugu yako ukaenda muhimbili au bugando wakasema bila CT scan report na kitu kidogo haiingii mtu theathre ndo utaona vizuri inavyokera. We subiri tu. Halafu nahisi kisukari kinakunyemelea kwa sababu ya hicho kitambi unachokilea ukipata kidney failure afu Hemodialysis mbovu au mpaka regency tu ndo utaelewa inavyokera vizuri. Sasa hapo haijalishi una bima ya wapi au huwa unaenda ulaya au india, hapo utafika tu mitaa ya wenyewe otherwise pia inawezekana kabisa kuvuta muda kuja kwa sababu kijiweni kuna lipa ikaandikwa death was ertified.... Hapa nahisi darasa litakuwa limeeleweka kabisa maana hakutakuwa na maswali na maneno kama haya tena
   
Loading...