CUF, Chadema NCCR waikataa Bajeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF, Chadema NCCR waikataa Bajeti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Jun 22, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wabunge wa vyama vya upinzani wameikataa bajeti ya 2012-2013. lakini bajeti hiyo imepita kutokana na wingi wa wabunge wa CCM. kigumu chama cha mapinduzi!.
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ilitarajiwa maana Magamba wapo bungeni kwa maslahi ya matumbo yao ni wasaliti kwa Umma
   
 3. k

  kitero JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm wapo pale bungeni kwa maslahi ya chama na si kwajili ya wananchi.Wangeikataa ingekuwa aibu kwa chama chao,kwahiyo waliona bora chama kuliku mwanachi.
   
 4. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Picha limeisha.Shibuda,Kangi,Mpina na Filikunjombe waliingia mitini!Mbatia,Mrema,Machali na CUF waungana na CDM.
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CCM NA UTETEZI WA BAJETI YA KI-FISADI KUTOKA JUU, WAPINZANI NA BAJETI YA WALALAHOI KWA AJILI YA MAENDELEO ZAIDI NA KONGAMANO KIDUCHU

  Siku zote Bajeti zisizozingatia MAONI YA WADAU WENGI ZAIDI mwisho wa siku huzaa migomo kibao kila kona ya nchi.

  Bajeti ya safari hii ni muhimu ikama SHIRIKISHI ZAIDI na kwa yeyote yule
  anayediriki kuita Bajeti ya Mhe Zitto Kabwe 'RUBBISH' you will soon be in for a rude shock toka kwa wadau. Hatupo tayari tena bunge letu kutumika kuwapitishia WAKUBWA bajeti zao binafsi za KIJANJAJANJA kwa ajili ya kuchota kodi zetu na MAENDELEO sifuri kila leo!!!

  Wananchi sote kwa idadi yetu,sote tulioelimika na tusioelimika, kwa pamoja tuelekeze akili zetu Bungeni Dodoma TAYARI KWA KUTETEA 'BAJETI YA MLALAHOI' sambamba na viongozi wetu wa upinzani kule bungeni wanavyoendelea kututetea.

  Bajeti yetu bungeni safari hii ni sharti itenge fedha kwa ajili ya MAENDELEO kwa asilimia 75 % na fedha kwa ajili ya gharama za UTAWALA, POSHO NA MIKONGAMANI safari hii kamwe isizidi asilimia 25 %.

  Fedha kwa ajili ya Mikopo Elimu ya Juu nayo lazima iende juu 4 fold ili Tanzania yetu iweze kuwekeza zaidi katika elimu kuongeza ubora wa watu wetu kushindana kwa tija katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

  WaTanzania sote kwa pamoja tuseme HAPANA kwa bajetiiliosheheni mawazo ya viongozi peke yao maofisini huko CCM bila ya kujali kuzingatia maoni yetu kupitia baadhi ya wabunge wetu Bila walio makini sana na maslahi yetu.

  Naam, nasema bila 'Bajeti ya Mlalahoi' kwa ajili ya kuleta unafuu zaidi wa maisha, ajira zaidi, na maendeleo zaidi badala y MIPOSHO NA KONGAMANO zisizoisha, HAKUPITISHWI KITU PALE.

  Wabunge wa upinzani wote sauti zenu zisiposikilizwa humo ndani ya bunge basi moja kwa moja KATUTUPIENI MPIRA HUKU MITAANI tukamaalize kazi.
   
 6. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  cuf tulisema mapema hatuiungi mkono bajeti na kweli imekuwa hivyo
   
 7. B

  Bob G JF Bronze Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mamose cheyo na Shibuda waliunga mkono Bajeti aibu kubwa ni wasaliti kwa umma wawatanzania wapenda mabadiliko ya kweli
   
 8. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Hata TLP hawakuiunga mkono budget mbona naona kama tunawasahau kwamba nao ni wapinzani..
   
 9. status quo

  status quo Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  shibuda hakuwepo bungeni leo hii.
   
 10. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  Hii mbinu iliyotumika leo nadhani serikali ilihisi hata wabunge wa CCM wangeipinga kama ungetumika ule utaratibu wa kupiga kura kwa sauti ya NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOO. Kwa kuwa wabunge wengi wa CCM si watu wa mambo hadharani ilipopigwa ya mmojammoja kila mtu akaitikia ndiyoo (hapo wangepewa karatasi ungeona mambo si hakuna anaeonekana.filikunjombe nae ameogopa ili kesho vyombo vya habari vikimfuata ajifanye shujaa kwa kuwaambia angekuwepo angesema hapana.
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  UDP pekee ndiyo inayo pomoa ndoa ya Mwenzake nashauri wana ndoa warudi ndani wajadiliane wakwazana wapi hadi wamefikia hapo.

  UDP aache kuvuruga ndoa za watu
   
Loading...