Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano - Ni MRADI Hewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano - Ni MRADI Hewa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tatanyengo, Jun 23, 2012.

 1. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nikiwa kama mdau wa sekta ya mawasiliano, jana nilisikitika kusikia waziri wa fedha anasema serikali ilikopa fedha nyingi ili kuwekeza katika Mkongo wa taifa wa mawasiliano Tanzania bara na Visiwani.Ninachojua ni kwamba mtaro ulichimbwa katika wilaya karibu zote za nchi hii, fibre ikazikwa ardhini mambo yakaishia hapo.Inasikitisha kuongeza deni la taifa kwa miradi ya ajabu ajabu kama huu.
   
Loading...