Bungeni Live: Hitimisho la Bajeti jioni ya 22/06/2012

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Ndo wanaingia ukumbini. Na naibu waziri wa fedha kaanza kuwajibu wabunge maoni yao.

Huyu naibu chizi kweli eti serikali imetekeleza malengo ya milenia kwa kuwaweka wanawake wengi bungeni

Mginwa huu upuuzi iweje skill development rev ipunguzwe na PAYE kwa wafanyakazi NO?????
 
Kilimo kimetengewa asilimia 9% ya bajeti.

Walimu wameshalipwa bil 22 mpaka sasa lakini mi nakumbuka wanaidai serikali zaidi ya bil 30
 
PAYE kwa mfanyakazi kutoka 14% kwenda 9% imekataliwa na kilichofanywa ni kung'ata na kupuliza baada ya kuongeza kiasi kisichokatwa kodi toka 135,000/= hadi 170,000/=
 
Boda boda bado wanatakiwa kulipia 95,000/= na kaelekeza zaidi kwa Tabora
 
Huyu naibu waziri anahubiri uwongo ule ule. Anasema kuwa mfumo wa PAYE unaotumika Tanzania ni wa kimataifa. Hili sio sahihi. Mfano, serikali inasema mtu anayepata 170,000 au pungufu yake kwa mwezi hatozwi kodi. Lakini kama anapata 180,000 atalipa kodi. Kimataifa mtu kitakachotozwa kodi ni 10,000 yaani 180,000-170,000 = 10,000 na sio 180,000.
Upinzania wako sahihi kwa sababu wamependekeza kodi kwa hiyo kiasi kilichozidi 170,000. Sasa huyu mwanamama anajaribu kuegemea mambo asiyoelewa!
 
wabunge wa chadema wanapiga kelele bungeni, mbowe cjui yuko wapi aandike majina ya wapiga kelele
 
mgimwa awaambia wabunge yupo shupavu. Hakika anatao hutuba yake kwa sauti nzito na imara hakika itawatisha wabunge wachovu wa chadema
 
Jamani ni lini bunge letu litaacha huu upuuzi wa kutumia muda wa bunge kushukuru? Huu ni ufisadi. Shukrani za nini nyie watu? agrrrrrrrrr
 
capten nape plz wajulishe mawaziri wetu kuwa kutaja majina na kushukuru ni kupoteza muda kabisa, wanatakiwa kujibu hoja za wabunge
 
Back
Top Bottom