Walimu mmesahau wajibu wenu

Deograsias

New Member
Mar 11, 2010
2
1
Mashuleni badala ya kufundisha mwawahimiza wanafunzi kufanya usafi pindi wafikapo viongozi wa serikali. Je, hamwoni ya kuwa mnachangia kufeli kwa watoto mashuleni? Nanyi viongozi wa serikali ni kwanini mwaliona hilo na kulifumbia macho? Ni kizazi gani cha baadae mnachokilea kwa mtindo huo?

Nimeyasema hayo baada ya kuona shule moja huko mkoani Mtwara. Sijui ni shule ya Hawa Ghasia! ama kweli analeta ghasia.

TAFAKARI
 
Kwa hiyo wewe ukiwaona walimu wa Hawa Ghasia wanafanya hivyo basi una conclude kwamaba ni walimu wote wako hivyo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom