Naunga mkono mgomo wa walimu

mtamanyali

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,161
613
Wakati umefika sasa wa serikali kusikia kilio cha walimu cha miaka nenda rudi. Nakubali kwa asilimia zote kwamba walimu nao wagome. Haiwezekani mwalimu wa degree alipwe sana na mwenye certificate katika kada zingine! Hapana enough is enough! Solidality forever.
 
mm ninavyoamin km walimu kweli wakiwa na nia ya kugoma na kua na mshikamano wa kweli itakua ndo sector itakayoitingisha sana serikali kutokana na wingi waooo nchini..
 
kwa uwezo wa mwenyezi Mungu naamini kwa sasa itawezekana. Hakuna malefu yasiyokuwa na ncha.
 
siungi mkono mgomo wa waalimu

wewe kweli mama porojo! Wakati mwngine porojo hazina maana hata kidogo toa hoja basi kitu gani kinakufanya usiunge mkono. Hivi ni nani asiyetambua kwamba mwalimu wa Tanzania anaonewa?
 
Walimu acheni kutuibia mawazo... mnagomaje likizo??

mwaka huu likizo kubwa ni mwezi wa nane kwa ajili ya sensa ya watu na makazi Hivyo mwezi wa sita hakuna likizo kubwa. Pia ufahamu kwamba kazi ya ualimu haina likizo
 
Wasigome waendelee na huo utalatibu waliouanza wa kutoa wahitimu wasiojua kusoma na kuandika hadi wazazi waje wajue kumbe anaesababisha hayo yote ni serikali kuwapuuza walimu. Ningefurahi kama siku moja nikaona form four amemaliza hajui kusoma wala kuandika sentensi ya kiswahili.
 
hakuna walimu wanafiki kama walimu wa tanzania, na ndo maana watoto wanamaliza la saba na kupelekwa shule za kata wakiwa hawajuwi kusoma wala kuandika.
 
Hata nami nilishaanza mgomo na mtambo wa kufyatua ma o. Na form 2 hajui kusoma wala kuandika kwani huo sio mgomo.
 
Back
Top Bottom